Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,054
- 7,265
Asijaribu physiotherapy wala Radiology damu zipo
Asijaribu physiotherapy wala Radiology damu zipo
Sasa dogo anataka afya anaogopa damu..Asijaribu physiotherapy wala Radiology damu zipo
Aende SUA tu hakuna namna
Sua kuna vm atakuata na damu..bora ende social work au cbe.Aende SUA tu hakuna namna
Radiology damu nje nje,,kuna wakati wanashughulika na majeruhi wa ajali nk.
Vipi kuhus pharmacy mkuuHuwezi kukaa hospital kitengo chochote usiguse damu, dharula ni nyingi hospital na utatakiwa kusaidia sehemu yoyote na muda wowote, achana na afya soma kitu kingine
Aplai pharmacy muhas Kijana ,achana na damu ,njoo kula pesaNinataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu?
Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
Katika suala la course za Afya.........kukwepa DAMU........haiwezekanii......kwa sababu hata ukiwa boharia wa dawa (pharmac)Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu?
Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
Sio bwana afya ni afisa afyaNa ENVIRONMENT HEALTH.......UBWANA AFYA
Public health...hiv bongo wanatoa bachela au masters vyuo ving
Selection Nimepata MD chuo cha kcmc na pharmacy CUHAS mkuuKama A-level chemistry hasa organic chemistry haukuwa flesh sikushahuri usome pharmacy chemicals formula extration to drugs zitakusumbua shule ya pharmacy ni balaa kuliko hata MD.
Alafu tupe mlejesho selection umepata kozi gani sio tuna toa mchango wa maoni kumbe wengine wanatu enjoy ☺️