MSAADA WA MAWAZO WAKUU

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Nimemaliza form six katika mchepuo wa PCB na nimepata two ya 12. Kama ifuatavyo CHEM C BIOS C na PHY S. Ndoto zangu ilikuwa kusoma course za afya hasa udaktar ila kwa matokeo haya na kwa maelezo ya guid book sina hizo sifa ingawa kuna zingine na ruhusiwa kwenda kusoma usipokuwa ya afya tu. Sasa nilikuwa naomba msaada wa mawazo katika hili
"KATI YA KWENDA KUSOMA COURSE ZINGINE ZA DEGREE NA KWENDA KUSOMA DIPLOMA YA MEDICINE KIPI NI BORA"
NAOMBENI USHAURI WENU WA KUBWA WANGU
ASANTENI SANA NA SAMAHANI KAMA NITAKUWA NIMEKOSEA KWENYE KUANDIKA
 
Muda unakwenda kumbuka lakini kuna watu walitumia hiyo njia wakafanikiwa, hii ipo juu yako sababu bado haujapitia life la chuo huko chuo napo kuna ugumu na vituko vingi ambavyo vinaweza kukufanya usipate gpa ya 3.5 ambayo inatakiwa pia hata ukipata unaweza kuachwa katika uchaguzi hivyo angalia mwenyewe nini unapenda lakini acha ile tabia kwamba msomi ni mtu anayechukua degree ya udaktari au kutaka nawewe uonekane unasoma udaktari muda ni kitu muhimu sometimes inabid kujifunza kuendana na maisha lakini uamuzi wa mwisho unabaki kwako wewe ndio msomaji ndugu.
 
Asante mkuu kwa mawazo yako na nitafanyia kaz mkuu
 
Back
Top Bottom