congratulation sana!! Umefanya maamuzi ya busara!!Ni hivi kanisani wakati Rev akihubiri kuna point alitaja lilinivutia, akauliza wapendwa ambao kabla hawajajiunga na Imani walikuwa walevi, akasema ni wangapi ambao walikuwa na uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano? wakanyoosha watu kibao!Haohao akawauliza je, kati yao kuna mtu ambae ana uwezo wa kunywa soda nne? Hakunyoosha hata mmoja!!Swali linakuwa hivi, kama mtu anaweza kunywa bia 500mil na inalewesha kama tano na zaidi, kwa nini ashindwe kunywa soda 350mil isiolewesha hata 3?Hope umenipata.