Nimelitoa kanisani

Nimelitoa kanisani

Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
Samahan naomba nianze na swali kabla sijaendelea. Huko kanisan ulikolitoa 'swali' ulikuwa unapita tu au ndipo umaposali?
 
okey! Kawakusanye ma slow learner wenzio mje, niwaagizie walimu kutoka nje ya nchi. Naona pamoja na maelezo yote bado akili zimeganda.
 
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!

1. Hivi bia na soda ipi ina gesi nyingi vile?

2. Malengo ya bia ni kulewa hivyo mnywaji ili afurahi lazima anywe nyingi mpaka alewe kidogo au zaidi ....soda kichangamsha mdomo, tumbo likijaa tu unaachana nayo!
 
okey! Kawakusanye ma slow learner wenzio mje, niwaagizie walimu kutoka nje ya nchi. Naona pamoja na maelezo yote bado akili zimeganda.
Wewe ndio akili yako mgando. Isingekuwa hivyo ungelipata jibu hukohuko kanisani usingetuletea. Kwanza ulishalewa b4 hujaandika thread yako. Ndio maana haieleweki. Hao walimu kutoka nje agiza waje wakufundishe mwenyewe.
 
1. Hivi bia na soda ipi ina gesi nyingi vile?2. Malengo ya bia ni kulewa hivyo mnywaji ili afurahi lazima anywe nyingi mpaka alewe kidogo au zaidi ....soda kichangamsha mdomo, tumbo likijaa tu unaachana nayo!
kwa hiyo kama soda inajaza tumbo wakati wa kunywa bia huwa unaweka mabomba ya kupitisha!
 
Wewe ndio akili yako mgando. Isingekuwa hivyo ungelipata jibu hukohuko kanisani usingetuletea. Kwanza ulishalewa b4 hujaandika thread yako. Ndio maana haieleweki. Hao walimu kutoka nje agiza waje wakufundishe mwenyewe.
naona sasa umejisoma ulivo punguani! Kasome michango ya wenzio utaona hasara za kubaka mada za watu bila kujua mwanzo wala katikati.
 
Back
Top Bottom