Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
hahahaaaa.......ngoja nikakarudishe kale tu
Asavari umebadili avatar
hahahaaaa.......ngoja nikakarudishe kale tu
usinichekeshe mwenzio ninamawazo. yaani natamani usiku usiingie
ha haa, mambo ya mapenzi bana we acha tu, nakumbuka wakati huo nasoma UDSM kuna mwenzetu aliolewa na mumewe alikuwa hajatulia, sasa rafiki yetu mwingine akiwa boyfrend wake viwanja akakutana na yule mume wa rafiki yetu (shemeji) yuko na kabinti wanajivinjari..si akaja kumweleza shosti kuwa nimemkuta shemeji sehemu fulani yuko na msichana mwingine...mmmmmmmhhhhh varangati likazuka kati ya yule dada(aliyeolewa) na mume wake..ilikuwa vurugu hadi walipigana, yule dada baada ya kubanwa sana na mume wake basi akamtaja yule dada aliyemwambia zile habari(japo aliapa hatamtaja)..heee yule baba alimjia juu yule rafiki yetu alimtukana matusi mwanzo mwisho,( eti anataka kmvunjia ndoa yake) wakati ni kweli..
basi yule rafiki yetu aliyetoa siri alijuta kumwambia yule dada maana yeye ndiye aliyegeuziwa kibao na kuonekana mbaya(kwamba anataka kuwachonganisha na kuwaharibia ndoa yao)..alikomaje??
na sisi wengine tulijifunza kuwa bora kupiga kimya tu, hata umkute anafanya nini hakuna haja ya kumwambia hadi aone mwenyewe kwa macho yake maana ukimwambia zali linakugeukia wwe halfu wenyewe wanakuja kupatana..wakati nia yako ilikuwa nzuri tu lkn sasa unaonekana mbaya..
hahahaaaa.......ngoja nikakarudishe kale tu
DEMBA kumbuka yule ni mke na mume hvyo yawezakuwa best ako alishalainika na kukutaja. Iweje nyumba nzma na majiran wote akushuku wewe mwenyewe? Think! Think big! Bora uende na maelezo ulivyotongozwa na mkewe kwa muda mref na kama binadam ilkufka muda ukalegea na kuachia ILA haya uyafanye baada ya kureport polisi na uwe na kaulinzi flan pemben.
Akhuuuuuu..... Akupishe huyu mkurya, kwani mpo kwenye kisiwa chenu pekeyenu (wewe, yeye na huyo hawara yake???) Anapoyafanya hayo hajui kama kuna watu wengine wanamuona???
Simamia msimamo wako wa usalama wako ingawa ni uongo!!!!!!!!
Asavari umebadili avatar
sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda
haaa haaa utakuwa hupewi taarifa muhimu.