Nimelikoroga

Nimelikoroga

wewe hapo huna kosa wangu,.................ku cheat a cheat yeye majanga akuangushue wewe,mkomalie tena muambie tuheshimiane mambo ya kwake yeye hayakuhusu thats all!!!LAKINI DAH........INACHEKESHA TEH TEH TEH KULINAWA PANGA LA MKURYA HIVIHIVI
KESHO ASUBUHI NA MAPEMA NAKU PM..........UNIAMBIE VIPI UMESALIMIKA NA PANGA?KAMA VIPI TOA TAARIFA KABISA POLISI MAPEMAAAAAAAAAAAA!!................SI UNAJUA KINGA NI BORA KULIKO TIBA?
 
subiria aje uingie kwenye kikao kesho ulite feedback sawa........ ukikimbia atajua ni wewe
 
basi usiwe na shaka ndg yangu, kwa kuwa ulisema ukweli, ninaamini kuwa hata MUNGU wako pia atakuwa ANAKULINDA. ila ninasisitiza tu kuwa wewe hudhuria hicho kikao ili kutoa suspicuios kwamba ni wewe ndio uliyesema hbr hizo. Pole sana mama asikuumize kichwa huyo ...!

ahsante jamiif michango yenu humu inanitia nguvu sana. nadhan hakuna baya litakalotokea.
 
Last edited by a moderator:
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
cc Sista Kaizer Heaven on Earth mwekundu Munkari charminglady gfsonwin 'Valentina' Mapi Mkoroshokigoli farkhina na wadau wengine

Ukome kuingilia ndoa za watu. Subiri hilo panga litue kwenye oblangata yako, pengine utapunguza tabia za umbeya.

 
wewe hapo huna kosa wangu,.................ku cheat a cheat yeye majanga akuangushue wewe,mkomalie tena muambie tuheshimiane mambo ya kwake yeye hayakuhusu thats all!!!LAKINI DAH........INACHEKESHA TEH TEH TEH KULINAWA PANGA LA MKURYA HIVIHIVI
KESHO ASUBUHI NA MAPEMA NAKU PM..........UNIAMBIE VIPI UMESALIMIKA NA PANGA?KAMA VIPI TOA TAARIFA KABISA POLISI MAPEMAAAAAAAAAAAA!!................SI UNAJUA KINGA NI BORA KULIKO TIBA?
haa haaa haaa yaani hapa hapanifai tena anaweza kunidhuru hata hapo baadaye
 
Ukome kuingilia ndoa za watu. Subiri hilo panga litue kwenye oblangata yako, pengine utapunguza tabia za umbeya.


kwa hiyo nikiuawa kwa panga wewe utafurahi? au utapata faida gani? after all sijaona baya nililofanya coz aliyetoa taarifa ni mwingine kabisa. mimi nimefanya finishing tu.
 
sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda

na kukutaja lazima........mie mwenyewe ukinipa habari tena kama

hiyo nikienda kwa khusika nataja fulani ndio kaniambiaaaaaaa
 
usikimbie kikao ma dia
ila weka watu wako karibu na eneo la tukio incase of anything unajua
 
usikimbie kikao ma dia
ila weka watu wako karibu na eneo la tukio incase of anything unajua

muhimu ni kumkagua kabla ya kikao ili kujiridhisha kwamba hana silaha.
 
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
amenihisi nadhan kwa sababu tunakaa nyumba moja. halafu hatuna mazoe sana na majirani wengine.
nilitaka kutoka kwa sababu leo atakuwa na mihasira sana ila tungeongea siku nyingine akiwa normal.
 
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..

Ahaa,,kumbe ni wewe ,nilijua tu kuwa utamwambia mke wangu,sasa dawa yako naitengeneza huwezi kunivunjia ndoa nitahakikisha nakula nawe sahan moja,,ama zangu ama zako.
 
ahsante kwa ushauri lakini kinachonikwaza hasa ni usalama wangu hapo kikaoni. huyu bwana hata mke wake huwa anampiga sana tena kuna siku alitaka hadi kujiua kutokana na vipigo

Ningekuwa nchi unayoishi ningekusindikiza kikaoni...(ninamiliki manati ya kizungu)...

Leo hii mpigie simu hata sasa hivi, mwambie akueleze hilo anaotaka kukueleza kwa njia ya simu...

Kama akishindwa kufanya hivyo, mwambie huna muda wa kukutana na mtu kwa sasa una ratiba zako binafsi...

Kuanzia sasa wewe ndio uwe "steringi" wa hii kitu, ndio uwe mwenye maamuzi ya kuwepo au kutokuwepo kikao...

So far naona umejiweka kwenye nafasi ya kundeshwa ndio maana uwoga umekutamalaki sana...
 
Ningekuwa nchi unayoishi ningekusindikiza kikaoni...(ninamiliki manati ya kizungu)...

usinichekeshe mwenzio ninamawazo. yaani natamani usiku usiingie
 
Ahaa,,kumbe ni wewe ,nilijua tu kuwa utamwambia mke wangu,sasa dawa yako naitengeneza huwezi kunivunjia ndoa nitahakikisha nakula nawe sahan moja,,ama zangu ama zako.

sasa wewe ulivyokuwa unakaa na kimada comfortably ulitegemea nini,after all sio mimi niliyeanza kumueleza. mimi nimefanya finishing u.
 
Back
Top Bottom