Nimelikoroga

DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,101
Likes
4,427
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,101 4,427 280
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
cc Sista Kaizer Heaven on Earth mwekundu Munkari charminglady gfsonwin 'Valentina' Mapi Mkoroshokigoli farkhina na wadau wengine
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,104
Likes
5,008
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,104 5,008 280
hahahaaaaaaaa nimechekaje tena.........haya mambo haya sa ye hasira za nini alivyokuwa

anafanya alijua hayatakuja kujulikana.......dunia haina hasira hamna cha kumkimbia wala nini

we kaa umsubirie hiyo jioni
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,415
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,415 280
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka ni miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
 
J

josephmasamaki

Senior Member
Joined
Apr 27, 2011
Messages
159
Likes
14
Points
35
J

josephmasamaki

Senior Member
Joined Apr 27, 2011
159 14 35
Pole dada yangu DEMBA ... Nakishauri uhudhulie kikao na usimamie msimamo wako wa kuruka kimanga mita mia!! Wale jamaa wakati mwingine wanahasira za ajabuajabu anaweza kukidhuru mbeleni, so kama kodi yako inakaribia kuisha anza kufikiria kuhama!
 
Last edited by a moderator:
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
18,391
Likes
24,606
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
18,391 24,606 280
Mwambie ukweli kama ulivyo tuambia sisi,
Hana cha kukufanya ----- huyo mkurya, anapomsaliti mkewe.
...mbaf zake
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
101,699
Likes
119,545
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
101,699 119,545 280
Sepa fasta, ikiwezekana terminate mkataba hv unawajua wakurya wewe au unawasikia?
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,101
Likes
4,427
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,101 4,427 280
hahahaaaaaaaa nimechekaje tena.........haya mambo haya sa ye hasira za nini alivyokuwa

anafanya alijua hayatakuja kujulikana.......dunia haina hasira hamna cha kumkimbia wala nini

we kaa umsubirie hiyo jioni
nashangaa mwenzangu kuniletea hasira zake. tatizo huyu jamaa ameshindwa kula na kipofu. alipaswa kutoonyesha mabadiliko yoyote kwa mkewe.
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,101
Likes
4,427
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,101 4,427 280
Pole dada yangu DEMBA ... Nakishauri uhudhulie kikao na usimamie msimamo wako wa kuruka kimanga mita mia!! Wale jamaa wakati mwingine wanahasira za ajabuajabu anaweza kukidhuru mbeleni, so kama kodi yako inakaribia kuisha anza kufikiria kuhama!
mmh labda nikatoe taarifa kwanza kituo cha polisi. maana hawa watu hawaaminiki.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,415
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,415 280
hahahaaaaaaaa nimechekaje tena.........haya mambo haya sa ye hasira za nini alivyokuwa

anafanya alijua hayatakuja kujulikana.......dunia haina hasira hamna cha kumkimbia wala nini

we kaa umsubirie hiyo jioni
Na wewe rudisha avatar bana....
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,101
Likes
4,427
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,101 4,427 280
Mwambie ukweli kama ulivyo tuambia sisi,
Hana cha kukufanya ----- huyo mkurya, anapomsaliti mkewe.
...mbaf zake
mmh tayari nilishakataa, nikikubali tena nitaonekanaje?
 
PetCash

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
1,808
Likes
418
Points
180
PetCash

PetCash

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
1,808 418 180
Kikaoni nenda na usimwogope mtu....Kuzini azini yeye then matokeo yake ndo aje kukupiga wewe?
Kwa nini alazimishe jirani wote wamuachie aishi vile anataka halafu yakija kumpata ya kumpata ndo anajifanya jirani wamsaidie.
Mimi nashangaa sana mtu unajua kabisa jirani ni sehemu ya maisha yako, we unaamua kuishi vile unapenda na kupiga mkwara usiingiliwe hata kama kimaadili unawapotosha watoto wa jirani zako. Lakini ukipatwa na shida sasa! mara jirani uko wapi, mara jirani ubinadamu kusaidiana..we si ulijifanya expert wa kivyako vyako?

Haya kumuingilia kwenye mishe zake wala kama hujamuona vile, bado tena akulazimishe kutenda dhambi ya uongo?
Motoni utaenda wewe wakati kuzini alizini yeye?

Nenda bi dada asikutishe chochote mpuuzi huyo
 
The Martyr

The Martyr

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Messages
325
Likes
16
Points
35
The Martyr

The Martyr

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2012
325 16 35
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka ni miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
ulichokifanya si kibaya na hata usingesema wewealishajua kunakitu kama hicho kwako alitaka uthibitisho tuu. Nakushauri uattend kikao ila chagua venue wewe na ikibidi mtafute mwana usalama awe karibu hata wa kuzugia akishakuja mchane live kuwa mkwewe aliashaambiwa alichokuwa anataka kujua toka kwako kama kuna mdada hapo kwake na ww ukamwambia ndiyo unaonaga mdada kwake hujui kama jamaa anamgegeda au la. afu muulize tu kizushi ni kweli huwa anamgegeda? as in ndo kipozeooo?
by the way u have every right to have opinion ulichokisema ni mtazamo wako kutokana na mzaingira yaliyopo kati ya jirani na mdada aliepo home neno lako laweza kuwa kweli au si kweli.
Mwambie tata aache ujinga kama alijua hali ingekuwangumu kwake kuvumilia angemwambia mkewe atafute chuo nchini...
 
bahatika

bahatika

Senior Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
121
Likes
1
Points
35
bahatika

bahatika

Senior Member
Joined Feb 10, 2012
121 1 35
Ukikimbia utaonekana umesema komaaa na jibu lako liwe moja tu
 
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,537
Likes
2,068
Points
280
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,537 2,068 280
Wee nawe mbea tuu..ukubwa wooote ulionao hukujuwa madhara ya kauli yako?...ona sasa umevunja ndoa ya watu kwa umbea wako...

Ndio umbeaaa. Wee unadhani mke kasafiri miaka inapita mume naye ana-hamu na kiu ya penzi...alichofanya jamaa ni poa kwa kupoza kiu..na ku-avoid gharama akaona watumie nyumba/chumba alicholipia kodi kuliko kuwa analipia guest house.

Pia kwann hukumfuata huyo mume na kumwambia kuwa unavyofanya mie sipendi na mkeo ananipigia simu umebadilika humjali tena kama vipi nitamwambia uanaishi na kidosho.
 
amu

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
10,771
Likes
7,640
Points
280
amu

amu

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
10,771 7,640 280
DEMBA shost pole jiandae kusutwa na mapanga.
Hama hapo fasta mambo ya ndoa magumu sana.Na iwe fundisho kwako
 
Last edited by a moderator:
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,955
Likes
677
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,955 677 280
hahaha umbea bhana.... kazi kweli kweli
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
16,993
Likes
14,845
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
16,993 14,845 280
mkuu umefanya jambo jema ila kwa upande mwingi umehatarisha usalama wako na ujirani!!
 
Forum statistics

Threads 1,235,560
Members 474,641
Posts 29,226,959