Nimelikoroga

Pole asikutishe huyo kwani anaishi shimoni kiasi kwamba watu hawamuoni. Je kama mkewe alituma mpelelezi hapo . Hudhuria kikao na ukatae kata kata ikiwezekana muhoji je ni wewe pekee ndiye unaejua hayo au kuna wengine pia wanajua. Cha msingi aache uzinzi na amuangukie mkewe. Kumbuka kumsisitiza mkewe asikutaje .
 
upo hai au ushakatwa panga?
nimechekaje lol
anyway huna kosa cause hujashiriki kuficha madhambi ya mumewe
ingekuwa ni binti wa kuja na kuondoka hapo ningesema ungeuchuna lakini kamweka dnani kabisa huna haja kumficha
wanaoukulaumu ni wale wazinzi wakubwa kama yeye.
ukweli umekuweka huru,kama alijua anachofanya sivo kwanini amweke ndani?
tuache kutetea wazinzi.
 
Pole asikutishe huyo kwani
anaishi shimoni kiasi kwamba watu hawamuoni. Je kama mkewe alituma
mpelelezi hapo . Hudhuria kikao na ukatae kata kata ikiwezekana muhoji
je ni wewe pekee ndiye unaejua hayo au kuna wengine pia wanajua. Cha
msingi aache uzinzi na amuangukie mkewe. Kumbuka kumsisitiza mkewe
asikutaje .

sijui kwa nini watu wanapenda kuhalalisha tabia mbaya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom