Nimelikoroga

Nimelikoroga

Heehe heeee... naona hata chakula kitashuka sasa!! Pole sana DEMBA naamini mara nyingine mambo ya ndoa za watu utanyamaza kimya!

haa haaa kwani hta haya niliyangilia basi, sikuwa hata nataka kujihusisha na mambo yao basi tu. yule mdada ameniingiza bila kujijua
 
Hebu tupe feedback basi kama kuna yaliyojiri mapya...au kikao hakikuwa leo?

kikao kimeisha watu8 tumeongea mengi, ila kwa ujumla amekiri kosa ni lake.
 
Last edited by a moderator:
kikao kimeisha watu8 tumeongea mengi, ila kwa ujumla amekiri kosa ni lake.

Mmh!! leo mbuzi kakosa majani kala mkeka...

Yaani huyo Chacha Marwa aka Bhoti aka Muraaa kawa mdogo kama piriton...

Ama kweli nzi kafia kwenye kidonda..
 
Last edited by a moderator:
Cku ingine usjihusishe kwenye mambo ya wapenzii maana wakijapatana kibao chageuka kwako!weeka mbali na watoto hii
 
Huyo kashakuwa mdebwedo, zile skrubu zote za misifa zimeshamlegea...

Ila jamaa aliogopa mpwa alivotuona apa kinabanda umiza kwa jirani na AK 47 zetu kama za osama
 
haa haaa kwani hta haya niliyangilia basi, sikuwa hata nataka kujihusisha na mambo yao basi tu. yule mdada ameniingiza bila kujijua
DEMBA issue yako nilipo isoma juzi ilinipa sana sononi moyoni na wasiwasi wangu ilikuwa huyu Muraa anaweza kukuletea mzozo;nashukuru allah mambo yameisha!

watu8 ndugu yangu naomba unisindikize kutoa posa mara majibu ya ombi langu yakikubaliwa!
 
Last edited by a moderator:
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
cc Sista Kaizer Heaven on Earth mwekundu Munkari charminglady gfsonwin 'Valentina' Mapi Mkoroshokigoli farkhina na wadau wengine

umefanya uamuzi mzuri kuamua kutengeneza safari,hao watu hasira zao huwez dhibiti
 
Last edited by a moderator:
Cku ingine usjihusishe kwenye mambo ya wapenzii maana wakijapatana kibao chageuka kwako!weeka mbali na watoto hii
kama umenisoma vizuri wala sikutaka kujihusisha nao, na kunasiku nilikuwa hadi namkatia simu huyo mke wake.
 
kama umenisoma vizuri wala sikutaka kujihusisha nao, na kunasiku nilikuwa hadi namkatia simu huyo mke wake.

Wakati mnaongea kesi kimalaya bado kilikuwa ndani au na chenyewe kilikuwa kizee cha baraza. Nakumbuka ulisema kimehamia kabisa.

Ulimwambia Mura kuwa aliyempa taarifa ni kidume 'kinachomfukuzia?" manake hiyo ndoa wote mme na mke wanaonekana wezi tu.
 
Usikubali kikao kama bado hamjakaa. Mnakaa kujadili kama ni wewe au sio wewe? Ama kujadili kama ni kweli ana kimada? Muambie kwenye simu usinihusishe na ndoa yangu, kama una maujinga yako huko huko. None of my damned cursed bussiness.
 
Kwani weeh mtu, ina maana mie kutongozwa tu kunanifanya malaya? Manake sasa ntakuwa kahaba, que inayosubiria niseme tu 'suuuuuuu' wanivue inakaribia chalinze mzee kwa njia ya kibaha!
Wakati mnaongea kesi kimalaya bado kilikuwa ndani au na chenyewe kilikuwa kizee cha baraza. Nakumbuka ulisema kimehamia kabisa.

Ulimwambia Mura kuwa aliyempa taarifa ni kidume 'kinachomfukuzia?" manake hiyo ndoa wote mme na mke wanaonekana wezi tu.
 
haa haaa ondoa hofu Sista habari kamili ni kesho. ila kwa ufupi amekiri kosa na mimi nimemwambia ukweli kwamba taarifa mke wake alishapewa na watu wengine mimi aliniuliza kuthibitisha tu.nimemshauri amtumie nauli mkewe aje au aende yeye mwenyewe wayamalize. amekubali

Pole best.
Bora yameisha ila bado uwe makini vichwa vyao huwa vinapata moto hao!
 
Kwani weeh mtu, ina maana mie kutongozwa tu kunanifanya malaya? Manake sasa ntakuwa kahaba, que inayosubiria niseme tu 'suuuuuuu' wanivue inakaribia chalinze mzee kwa njia ya kibaha!

Anayekutongoza ndo anakupa siri za mmeo. imekaaje?
 
Kikao kahudhurie ila muwe eneo lenye salama halafu we endelea kuruka kimanga
 
Back
Top Bottom