Nimelikoroga

Nimelikoroga

heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.

ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.

sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
cc Sista Kaizer Heaven on Earth mwekundu Munkari charminglady gfsonwin 'Valentina' Mapi Mkoroshokigoli farkhina na wadau wengine

JF RAHA tupu....nimechekaje hadi machozi...yaan JF Hata kama uko nyumbani peke yako basi unajiona kama uko kijiweni unapiga stor na watu....ha ha ha ha ha ah, umelikoroga hilo lazima ulinywe.......

ukitaka kujikinga mwambie mkewe alikutega na alikuwa anajua mapema ndio akauliza kuthitbisha na yeye jirani hakukwambia anaeishi nae ni mke au lah...huna kosa best......mwalike rafik yeyote aje nyumbani ili jamaa akifika atleast awakute wawili
 
JF RAHA tupu....nimechekaje hadi machozi...yaan JF Hata kama uko nyumbani peke yako basi unajiona kama uko kijiweni unapiga stor na watu....ha ha ha ha ha ah, umelikoroga hilo lazima ulinywe.......

ukitaka kujikinga mwambie mkewe alikutega na alikuwa anajua mapema ndio akauliza kuthitbisha na yeye jirani hakukwambia anaeishi nae ni mke au lah...huna kosa best......mwalike rafik yeyote aje nyumbani ili jamaa akifika atleast awakute wawili

kashafika nimemwambia aje hapa kwangu nipo na mdogo wangu.
 
mwanamke sifa yake ni umbea, kusutwa ni sunna. leo mwenzetu arobaini yake imemkuta
 
kashafika nimemwambia aje hapa kwangu nipo na mdogo wangu.

kavae jeans na raba chumbani kwanza shogaa . jifanye ndo ulikuwa unataka kutoka ila unamsubiri yeye kwanza
 
kupigwa panga, ndoa yake ataivunja yeye mwenyewe.

Simple mbona? Unamwambia ndio nimeshamwambia, na nimeshawaambia ndugu zangu incase lolote likinitokea you will be held responsible.

Au kama vipi njoo hapa Tegeta nikupe RB kabisa kwa msisitizo.

Btw, haezi kukufanya lolote kwakuwa hampendi mkewe. Angekuwa anampenda asingemleta malaya ndani. Malaya ndio, mwanamke mjanja hawezi kukubali kulala kwenye kitanda cha mwanamke mwenzie.

Hao wanandoa wana watoto?
 
mhmhh bado tu? mbu wananiuma DEMBA. au ndo mumeenda kituo cha polisi?
 
Last edited by a moderator:
hahaaa! mie najiandaa kukucndikiza muhimbili, mdomo ukusaidie kula bibie
 
njoo nikuazime gloves za mabondia, unapga na bukta na raba, akifika unamuambia naelekea mazoezini so fanya fasta, aaah lazima aombe msamaha
 
Back
Top Bottom