Nimelikoroga

Nimelikoroga

Hahahaha...tia timu kwenye kikao, hakuna haja ya kukimbia. Kwa vile mkewe hajamuambia ni nani kampa habari hizo, wewe endelea na msimamo wako wa kukomaa kwamba hufahamu chochote kuhusu hilo jambo na kwamba hujawahi kuongea na mkewe. BTW, tayati mkewe kishampiga kibuti, sasa hasira za nini? Si aendelee na huyo dogo dogo mpya? Mbona anakuwa na kiherehere bila sababu?
 
aruke kimanga kipi na amesharopoka humu. huyo mume hapajui jamii forum? au incidents kama hizi zimeshatokea saana?!?!

acha kumtisha mwenzio...huyo jamaa haijui jf wala nini, yeye anajua "kulenga" tu. Endelea kukomaa, vaa sura ya mbuzi kabisa bibie...hawezi kukufanya lolote bila kuwa na ushahidi jadidi.
 
Kuna wakati ukweli huwa hauna maana. Kama ukweli unabomoa badala ya kujenga basi haufai kusemwa.
 
Hahahaha...tia timu kwenye kikao, hakuna haja ya kukimbia. Kwa vile mkewe hajamuambia ni nani kampa habari hizo, wewe endelea na msimamo wako wa kukomaa kwamba hufahamu chochote kuhusu hilo jambo na kwamba hujawahi kuongea na mkewe. BTW, tayati mkewe kishampiga kibuti, sasa hasira za nini? Si aendelee na huyo dogo dogo mpya? Mbona anakuwa na kiherehere bila sababu?
kikao kilishafanyika na feedback nimeshaitoa, uzi wa feedback umo humu mmu
 
Kuna wakati ukweli huwa hauna maana. Kama ukweli unabomoa badala ya kujenga basi haufai kusemwa.

tunajenga nini kama mtu anakuwa anafanya vitendo viovu halafu tunamuacha, wanaomzunguka wanajifunza nini?
 
Yani huruma zinatuponzaga wanawake...nilikuwa nakaa na dada yangu(family friend).sasa boyfriend wake alikuwa anapenda kututembelea na sometymz analala hapo kwetu.huyo boyfriend sasa alikuwa kicheche hatarii halafu sisy wangu ndo kakolea balaa.....mmmh shem asianze kunikonyeza konyeza,mara akiwa anarudi kwake ananipa mi hela kisiri siri hlf sister angu analalamika hajapewa hata senti.bwana eeh siku moja shem kafanya manyanga yake ya mikonyezo then akaingia rum kwao,sasa sister alivyotoka tu nikamfanya apromise hatamwambia shem nitakachomwambia(nikamwambia ukweli).weeeeeee alienda kufanya "copy n paste" si nikaitwa....ilikuwa shughuli Yani sielewagi,umuache mtu hvyo hvyo aje ajionee mwenyewe au umwambie ukweli..!!
kuna boyfrend wa rafiki yangu ananitaka natamani kumwambia rafiki yangu ila naogopa wasije wakanigeuka wakanigeuzia kibao nimeamua kuchuna japo roho inauma kuona rafiki yangu anadanganywa.
 
kuna boyfrend wa rafiki yangu ananitaka natamani kumwambia rafiki yangu ila naogopa wasije wakanigeuka wakanigeuzia kibao nimeamua kuchuna japo roho inauma kuona rafiki yangu anadanganywa.
mwenzangu bora uache tu, kama kicheche mwisho wake utafika tu.
 
Yani huruma zinatuponzaga wanawake...nilikuwa nakaa na dada yangu(family friend).sasa boyfriend wake alikuwa anapenda kututembelea na sometymz analala hapo kwetu.huyo boyfriend sasa alikuwa kicheche hatarii halafu sisy wangu ndo kakolea balaa.....mmmh shem asianze kunikonyeza konyeza,mara akiwa anarudi kwake ananipa mi hela kisiri siri hlf sister angu analalamika hajapewa hata senti.bwana eeh siku moja shem kafanya manyanga yake ya mikonyezo then akaingia rum kwao,sasa sister alivyotoka tu nikamfanya apromise hatamwambia shem nitakachomwambia(nikamwambia ukweli).weeeeeee alienda kufanya "copy n paste" si nikaitwa....ilikuwa shughuli

Yani sielewagi,umuache mtu hvyo hvyo aje ajionee mwenyewe au umwambie ukweli..!!

bora kuacha tu, kama mimi hapa mbona naweza badilishiwa kibao. ila mungu hafichi unafiki ipo siku mambo yanakuwaga hadharani.
 
heshima yenu wana MMU hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia. ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea. kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi lik

Kiherehere chako kitakuponza. Ungemwambia huyo mwanamke kuwa umeshahama sehemu anayoishi mumewe.
 
hiyo akili ya papo kwa papo ndio sikuwanayo sasa.
 
Sasa anakununia nini wakati ni kweli anaishi na mwanamke yaani binadamu bwana kha!
 
Okay umefanya jambo la busara kusema ukweli mi naona we ubaki kwenye kikao jioni afu uangalie maongez ynyw yatakuwaje! Maana wakurya hataree
 
Back
Top Bottom