IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Mwambie ukweli kama ulivyo tuambia sisi,
Hana cha kukufanya ----- huyo mkurya, anapomsaliti mkewe.
...mbaf zake
Acha kumdanganya mwenzio, majuzi tu nilikuwa naangalia kipindi cha Wanawake Live cha yule dada Kiria alionyesha live jinsi jamaa mmoja mkurya alivyoamua kumcharanga mapnga mke wake wa ndoa na kumkata MGUUU!!!.....Ushauri wangu: Ukiishi kwenye nyumba za kupanga usipende kujihusisha sana na maisha ya wengine...piga salamu kula time zako, acha kabisa kujua dtails zao, shika mambo yako.