hivi kwa nini nyinyi wanaume huwa hamuoni makosa yenu. sasa mtu anaishi na kimada kwenye nyumba anayoishi na mkewe wa ndoa maana yake nini?
Mwambie ukweli kama ulivyo tuambia sisi,
Hana cha kukufanya ----- huyo mkurya, anapomsaliti mkewe.
...mbaf zake
Sasa unaingia mkoa wa Mara
wewe usimdanganye mwenzako, yani kama anataka kukaa hicho kikao namshauri tu awe amevaa bullet proof na helmet za kijeshi zile ambazo hazipitish risasi la sivyo icho ni kifo ye anajisemea tu wala hajaui inamchukua miaka mingapi jamaa kuijenga hiyo ndoa au imemcost vitu gani mpaka kuwaona wako hapo walipo jamani nyie oneni tu ndoa zipo ila zilikotoka hizi ni mbali asa na wewe kwa psychological statement ndogo kama hiyo akaanza kuleta umbea sasa hilo ni lako na inabidi ulinywe tu......nashindwa kuitofautisha na kule kujidhatiti kwa francins shumilahahahaaaaaaaa nimechekaje tena.........haya mambo haya sa ye hasira za nini alivyokuwa
anafanya alijua hayatakuja kujulikana.......dunia haina hasira hamna cha kumkimbia wala nini
we kaa umsubirie hiyo jioni
haya bana sijui anarudi saa ngapi nie nimeshachoka kumsubiri.pole shosti DEMBA kwa yaliyokukuta. Sio siri una hali mbaya na jioni ndio hii. tafuta kijana awe home kwako. pia mwambie jirani aja kwako usiende kwake ili hata ikitokea kaleta fujo sheria itakuwa upande wako. poleeee siondoki hapa hadi kikao kiishe
pole shosti DEMBA kwa yaliyokukuta. Sio siri una hali mbaya na jioni ndio hii. tafuta kijana awe home kwako. pia mwambie jirani aja kwako usiende kwake ili hata ikitokea kaleta fujo sheria itakuwa upande wako. poleeee siondoki hapa hadi kikao kiishe
wewe usimdanganye mwenzako, yani kama anataka kukaa hicho kikao namshauri tu awe amevaa bullet proof na helmet za kijeshi zile ambazo hazipitish risasi la sivyo icho ni kifo ye anajisemea tu wala hajaui inamchukua miaka mingapi jamaa kuijenga hiyo ndoa au imemcost vitu gani mpaka kuwaona wako hapo walipo jamani nyie oneni tu ndoa zipo ila zilikotoka hizi ni mbali asa na wewe kwa psychological statement ndogo kama hiyo akaanza kuleta umbea sasa hilo ni lako na inabidi ulinywe tu......nashindwa kuitofautisha na kule kujidhatiti kwa francins shumila
ndio hivyo ma dia namsubiri arudi ili nijue mbivu na mbichi ila ki ukweli ninaogopa, isingekuwa jf sijui ningefanyaje.