Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Setting zipi mkuu nami nizuie hii kitu

Nenda kwenye Whatsapp Settings kwa Mtiririko huu

Account >> Privacy >> Groups

Halafu exclude kila mtu, kama nlivofanya mimi.

IMG_6866.png
 
Ujue shida wanawake mmesahau kuwa nyie ndio mnahamia kwenye familia ya mume kwa taratibu za jamii nyingi!!
Lakini mnataka kuweka kama tumeoana wakati nyie ndio mnaolewa.
Mambo ya upande wenu Mimi nashirikishwa kama Kuna mahali pa kusaidiana
Lakini sipaswi kuhusishwa kwenye mijadala yenu.
Ndio maana nikasema jamaa yuko sawa, kujiacha acha azoeleke ukweni sio sawa
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea?
Shida ya haya magroup ya kifamilia yana unafiki mwingi sana,wanakuunga huko,ila wakitaka kukuteta wana ka group kao kengine ka kukusema wewe bila ya kujua ,halafu wakija huku kwingine wanajifanya kukuchekea kama vile wako na wewe...
 
Mimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.

Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
Vip katika hilo grup la livapool upo pamoja na yule livapool VPN anae tuzuia kuoa?
 
Uko sahihi kabisa, me nilimpiga marufuku wife maana na wao walitaka kuanza kuleta hizo issue hata kwenye vikao vyao vya ukoo wakaanza kunialika nikawa siendi naona wakajiongeza. Infact hutakiwa kujenga sana mazoea na ukweni, mwisho wa siku matatizo yao yote utaishia kuyabeba.
Nivizur Wana takiwa wasikujue Sanaa mwishoe wataanza kuleta madharau
 
Shida ya haya magroup ya kifamilia yana unafiki mwingi sana,wanakuunga huko,ila wakitaka kukuteta wana ka group kao kengine ka kukusema wewe bila ya kujua ,halafu wakija huku kwingine wanajifanya kukuchekea kama vile wako na wewe...
Haa haa haa kwahiyo kanaundwa kagroup kengine kwa umbeya pembeni
 
Wenzetu mifumo Yao ya maisha nitofauti Sana na Sisi ata kwenye simu zao za mkononi hawana namba za simu nyingii kama uku kwetu simu ina majina mengii
Halafu majina mengi na hayana faida, weka status unashida kama utaona hata wakukupa pole ya buku kimyaa kabisa, siku nikiamuaga na delete mizigo yote.
 
Uko sahihi kabisa, me nilimpiga marufuku wife maana na wao walitaka kuanza kuleta hizo issue hata kwenye vikao vyao vya ukoo wakaanza kunialika nikawa siendi naona wakajiongeza. Infact hutakiwa kujenga sana mazoea na ukweni, mwisho wa siku matatizo yao yote utaishia kuyabeba.
Exactly mkuu
 
Back
Top Bottom