Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea?
Nadhani ni maamuzi sahihu kujitoa kama hilo group halina misingi inayoeleweka ya kuanzishwa kwake. Mathalan, likiwa ni kundi la kujadili mambo yanayohusu mambo yao kama familia mtambuka huko kwao, wewe sio sehemu yao, labda uwe umeshajirqsimisha kwao. Hapa naongelea kwa mila zetu za kiafrika. Lln kama ni kundi kwa ajili ya kuangalia welfare ya members wa group, ni vyema ukaendelea kwani kama ni mchango kila mtu atawajibika kama mwanachama na sio kama mkwe.
 
Umekwepa mtego mmoja muhimu sana .maana hayo magrupu huwa wanaangalia shemeji kakomenti vipi halafu wanajadiliana inbox . Mkeo anatosha kukupa habari zao kuwepo na mipaka.
 
Nadhani ni maamuzi sahihu kujitoa kama hilo group halina misingi inayoeleweka ya kuanzishwa kwake. Mathalan, likiwa ni kundi la kujadili mambo yanayohusu mambo yao kama familia mtambuka huko kwao, wewe sio sehemu yao, labda uwe umeshajirqsimisha kwao. Hapa naongelea kwa mila zetu za kiafrika. Lln kama ni kundi kwa ajili ya kuangalia welfare ya members wa group, ni vyema ukaendelea kwani kama ni mchango kila mtu atawajibika kama mwanachama na sio kama mkwe.
Niliingizwa kama mwanafamilia yani nishiriki kila kinacholetwa pale kwa group. Mchezo niliousoma familia yao walitaka waniweke kwenye 18 zao .
 
Umefsnya kosa kubwa ssna. Unge arxhieve ukawa hausomi sms zao. Mm nna magroup kalibia 20nimeyahide sababu kuna mda huwa nahitaji kuyatumia
 
Block watu wote kukuunga kwenye magroup.

Mbona easy sana.

Nenda kwenye settings kaweke hio option.

Wakitaka kukuunga wakuombe na wakutumie invite Link
 
Mimi wanashangaa hata kwao silali nipo radhi nikae tuongee hata saa 9 za usiku lakini nitaaga nikalale Lodge
 
Back
Top Bottom