Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Du una moyo ndugu mi ningekuwa nimeharibu cku hiyo hiyo....hama chumba kama vp
 
Hili ni jukwaa la GT, huyu jamaa hadi kapata trip ya ng'ambo bila shaka yeye sio mtu mdogo kwa maana ya elimu, lazima atakuwa ni mhitimu wa chuo kikuu. Katumwa na taifa kwenda kuchukua maarifa mapya, badala ya kutusimulia anayojifunza huko yeye anakuja kueleza habari za uzinzi wake. Je hii ndio tabia yetu watz.

Nadhani pia huyu bwana ni mshamba sana, na huyu msichana sincerely hana motive yoyote zaidi ya kutaka kusave hela. Nilimuuliza swali yuko nchi gani na anatoka wizara gani, kwa vile hapa kwetu wizarani kuna wafanyakazi wawili me na ke (wanandoa) wameenda China kwa ajili ya kuandaa safari ya Mkuu huko mwezi ujao.
 
akupe ujasiri gani wakati pesa kesha kuwezesha unaweza kumdu chumba chako? na mme wake anahudhuria JF, lazima agundue. nakushauri uchukue chumba chako mkuu

Ila huyu jamaa anaweza kuleta tafrani kwenye ndoa za watu (hata kama ni hadithi ya kutunga tu!). Imagine mwanaume/mwanamke ambaye mkewe/mumewe kaenda semina ya siku tano mahali......halafu anapita hapa JF na kusoma masimulizi haya! Naamini kwa stori hii kuna watu kadhaa wameshapiga simu ku confirm wenza wao wamelala wapi/na nani!?:smile-big::smile-big:
 
Manuu lete habari za usiku wa pili............


au ndio shughuli imenoga??!!
 
Ofisi: PPF

Wizara: Fedha

Nchi: Dubai

Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)

Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.

Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi
Hee kumbe ni kweli aisey, mzee chunga kumbe record zako watu wanazo, mke wa mtu mhuuuu!!!!!!!!!

 
Huyo mwanamke usipo mla, atakushangaa na kukudharau sana. Mkirudi nyumbani hapo ofisini kwenu lazima awasimulie kuwa mzee wewe hauko fit! Linda urijali wako kwa kumchapa nao!
Upuuzi mwingine huo, linda maisha yako linda ndoa yako linda utakatifu wako usijichafue!!!!!!

 
Iambie akili yako umelela na mkeo na yuko kwenye siku zake siku 5 zitaisha.
 
Leo ni siku ya pili Manuu

tuambie yaliyojiri bwana hata ama ulitunga endelea basi na utamu kolea?
 
umewahi sana kuweka hii post. ungetuwekea siku ya 3 au ya 4 ndio ingenoga. una kiherehere sana cha kupost.
haya urudi after 3 days utueleze mmesave dollar ngapi kwenye hotel kwa kulala kitand kimoja na makumbatiano ya kitakatifu.

da asia habari,jamaa ameshahama mkoa?au ndo yeye kaenda dubai kikazi..nakusalim2
 
ila huyu jamaa anaweza kuleta tafrani kwenye ndoa za watu (hata kama ni hadithi ya kutunga tu!). Imagine mwanaume/mwanamke ambaye mkewe/mumewe kaenda semina ya siku tano mahali......halafu anapita hapa jf na kusoma masimulizi haya! Naamini kwa stori hii kuna watu kadhaa wameshapiga simu ku confirm wenza wao wamelala wapi/na nani!?:smile-big::smile-big:

afadhali umeliona hili. Halafu kibaya zaidi kataja wako wapi, yaani wako nje ya nchi. Sasa mwenye mke wake aliyemruhusu mkewe kuhudhuria semina lazima atajua
 
Kwanini uamue kujiweka majaribuni for no good reason? Kama unapenda pesa, uwe tayari kupenda na yanayojiri kutokana na pesa. Vinginevyo itabidi ukubali matokeo.
 
Ikawa usiku, ikawa asubuhi: Siku ya pili!
 
Kumbe yeye hana shida, shida inaonekana iko kwako. Manake kwa maelezo yako, inaonekana wala haoni shida uwepo wako.

Ila na nyie saving ya aina gani hiyo? Mnajenga? Si bora mngetafuta hoteli za bei rahisi na kila mtu akawa na uhuru wake mwenyewe? Siku hizi kuna internet, unacheki rates za hoteli sehemu yoyote uendayo na inakupa bei tena kwa madafu!
 
we unafanya jaribio ambalo unajua mwisho wake. unamjaribu nani sasa?
 
Mkuu sidhani kama unaipenda ndoa yako
Maana kulla na mwanamke ambaye sio mke wako chumba kimoja tena kitanda kimoja kwa siku tano na utegemee miujiza ni ngumu
Achana na hizo mambo za kusave utasave pesa ila ndoa yako itakuwa imeingia kwenye mkopo

hahahahaha......yaani administration!!
 
Hiyo haiwezekani. Haina mantiki. There can be no self control wakati mwanamke yupo karibu. Hiyo ni kama ukienda juu mlimani ,wewe na mke wako,ukamkuta ascetic anaishi pale katika pango. Utamwambia,'' We unaishi peke yako huku mlimani bila mwanamke,kama mimi siwezi.''
Kweli anaweza kuishi peke yake almost indefinetly bila mwanamke,lakini huyo mke wako lazima ukae nae karibu. Kwa sababu ukiwaacha wawili muda mfupi,itakuwa balaa.

naomba kutofautiana nawe hapa mkuu.....SIO KWELI!inawezekana kabisa bana.yaani kwamba mradi mwanamke tu karibu basi nitapiga tu hata kama hanipi mzuka?kujikontroo inawezekana kabisa kabisa kabisa,ni kuongea na akili yako tu...kigumu hapa(japo sio kwamba hakiwezekani) ni kulianzisha,maybe cuddling na vitu kama hivyohalfu ujipe moyo kwamba utaishia njiani!
 
Ya nini kujipa shida yote hii?
Ona sasa unalala umeifunga kitanzi injini, utajikuta inakusaliti inatenda tafuta majani nje bila ya wewe kuwa na taarifa.

Unachezea kiberiti kituo cha mafuta halafu unaogopa moto? Wanshangaza!

Ni kweli kabisa Kongosho...mtu mzima na anayejua anafanya nini, hawezi thubutu kijaribu kitu kisichojaribiwa. Nikifanya kitu cha aina hii lazima ntakuwa mgonjwa wa akili...
 
Broo, acha hiyo mambo kabisa..mimi ilishawahi kunitokea kama hii mambo, ila alikuwa mke wa mtu na kanizidi sana tu kiumri.. ila Mungu aliniokoa na balaa..sikithubutu kumgusa mpaka tunarudi..na ilikuwa safari ya wiki mbili..kwa bahati mbaya maskini ya Mungu huyo mama kafariki mwaka jana kwa ukimwi..kama nafsi haikuambii ufanye kaka Usimguse utakuja jutia nafsi yako..mpaka leo namshukuru Mungu kwa kuniepusha na janga..ila kama nigeendekeza tamaa..mambo yangekuwa mengine mpaka sasa..
 
Back
Top Bottom