Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

unajaribu kusave laki 5, then unanunua Ukimwi?
vp mzee hupendi familia yako au!
 
ukifanikiwa kulala naye siku tano zote bila kumfanya chochote utagain credit za aina yake mkuu. Gangamala.
 
Jamani huu ni uongo wa kutunga tu. Hata Biblia inatuambia kuwa hakuna mtu awezaye kuweka kaa la moto kifuani kwake lisimuunguze (ilikuwa inazunguumzia habari za mwanamume kumuintateini kahaba). Dawa ya zinaa kwa mujibu wa Biblia ni moja tu nayo ni kukimbia, mfano tunauona kwa Yusufu. Mkuu huwezi kulala kitanda kimoja na mwanamke halafu eti mkamkumbatiana, akakuwekea na mguu wake juu yako halafu ukabaki salama.
Unaweza kuamua kulalal na mwanamke chumba kimoja katika mazingira magumu na akili yako ikawa salama na ukabaki salama. Lakini kwa namna ulivyoeleza hapa hapo mwanamume hubaki salama.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

Mjulishe mkeo kwanza alafu au chakachua
 
movie la mandieta limeisha imekuja movie ya manuu!utuletee update day after day!nakuhakikishia siku ya 3 utaingizwa dhambini!huyo dada hajali chochote kuhusiana na ndoa yake!siku ya 3 utamjua vema huyo dada!nakutakia kila la shari!
 
Huyo mwanamke atakua muathirika wa HIV,anakutega 2 hapo wewe uingie kwenye list yake.
 
hii ni hadithi kama kweli lazima ungesema umesahau kutumia kondomu unaogopa mimba au ukimwi.
 
Umekwisha ndugu yangu! Mi iliwahi kunitokea, nikaishia kula mzigo na bill ya chumba nikalipa mimi yeye aka save hela zake na tulivyorudi bongo akapiga sura ya kazi utadhani sio yeye. Sikuamini pale nilipojaribu kuomba mechi ya home ground nikatolewa nje na matusi juu!

Loh wanaJF kwa vituko!
 
Ila ngoma droo coz mkeo pia home amepata kabuzo flan ila nacho hakina speed wanapapasana tu,
 
Ndugu kumbuka kuwa sex is not only penetration but process, yaani hata kule kukumbatiana na huyo mama tayari mmeperform sex, jambo la kufanya chukua chumba chako mwachie hicho chumba au basi chukua cha vitanda viwili. Vinginevyo ?????????????????
 
Yan nimejikuta nacheka kwa comments za watu na pozi la kumshauri limestak! Hahahah duh ..oh my jus cant stop laffn
 
Thanx bro 4 taking a very good of ur marriege ur very few in this planet.Bt plz 4 the sake of ur marriege n much less ur almight God stop that now.Dhambi zote tunazishinda kwamaombi lkn zinaa bibilia inasema iepukeni zinaa n msaafu inasema usiikaribie zinaa so bro run frm it.kama Yusuph mtume wa Mungu.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

Bado ndugu yangu, utaona mengi zaidi... Ila nakupongeza kwa ujasiri

hizi safari ni balaa.... Mie niliona mama mzee kama spika wa bunge ananyata usiku kuhama chumba pale arusha
 
kulaleki hapo haman dhambi wala nini ..mimi kusoma tu bandiko lako dudu limeamka sembuse wewe hapo unayelala naye
 
Ofisi: PPF

Wizara: Fedha

Nchi: Dubai

Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)

Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.

Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi

kudaaddaddada dekiii kimenukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::kev:
 
Back
Top Bottom