Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

atamsema vibaya sana ofcn kama asipolinda urijali wake
 
Hakukuwa na haja ya kuja kuomba ushauri hapa
Yaani alijua kabisa kuwa mazingira ni lazima yawe magumu
Mwanamke na mwanaume ndani ya room moja na kitanda kimoja na then unasema mwanamke ana pepo wa ngono kutoka wapi
Hata kama uzalendo ukikushinda huwezi kumsingizia shetani eti shetani alinipitia
Kuna sehem ambazo mpaka shetani anasingiziwa na mojawapo ni hii

hapo anadai kapitisha usiku mzima wakati tayari yule mwenzake kajiweka huru kubaki utupu mbele yake na yeye akavaa bukta na kulala ... angelala kweye kochi walau angeonyesha kweli hana dhamira isiyosahihi
 
usije logwa mkanywa pombe lazima mfuturu.
 
Sikiliza wewe! Wewe ni mwamume rijali. Chukua "soks" cond.. na Umdo! Otherwise hata kama ni bosui wako atakuona hufai kabisa. Badae nijulishe reaction yake. Maana anakutega ati...
 
Hongera kwa kupitisha siku ya kwanza.Nakukumbusha tu kuwa Yesu aliwaambia wanafunzi wake kesheni mkiomba msije mkaingia majaribuni,nawe nakusihi ufanye hivyo.Maana lengo la kushea chumba ni zuri kama ulivyoeleza,ila tu ukiingia majaribuni yawezekana hata kile ulichokuwa unasevu kwa kushea chumba ukamuachia huyo mke wa mtu na kukawa hakuna maana tena ya kushea chumba ili kupunguza gharama.Kama unaona utaingia mtegoni ni bora uhame kabisa na kuchukua chumba chako mwenyewe.
mwambie mkeo na yeye amwambie mumewe mjue kama mfanyacho ni chema mkuu!
ukiambiwa na mkeo umefanya vyema basi uendelee tu kulala siku zote 4 zilizobaki!
 
hapo anadai kapitisha usiku mzima wakati tayari yule mwenzake kajiweka huru kubaki utupu mbele yake na yeye akavaa bukta na kulala ... angelala kweye kochi walau angeonyesha kweli hana dhamira isiyosahihi


Mkuu nakuunga mkono
Au angechukua mito ya makochi au hata kwenye carpet akalala chini na kujifunika na shuka akimwacha mwanamke kulala kitandani
Kitendo cha kujikuta mmekumbatiana na bado mkaendelea kukaa namna hiyo hiyo hadi asubuhi mhhh (hii story haiaminiki maana ile asubuhi mzee mzima anapokuwa up na jamaa kaacha tuu mzee aendelee kuwa up mpaka mwanamke anaamka na kuvaa na kumwacha hivyo hivyo siiamini eti)
 
Mko nchi gani? usipojali mnatoka wizara gani?

Ofisi: PPF

Wizara: Fedha

Nchi: Dubai

Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)

Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.

Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi
 
Hii imenichekesha na ina ukweli kiasi f'lani.
Mkuu wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Jamaa anadhani anajizuia kulinda heshima yake na ya huyo mwanamke lakini kumbe anaimaliza heshima yake mwenyewe! . Time will tel.
 
Mkuu nakuunga mkono
Au angechukua mito ya makochi au hata kwenye carpet akalala chini na kujifunika na shuka akimwacha mwanamke kulala kitandani
Kitendo cha kujikuta mmekumbatiana na bado mkaendelea kukaa namna hiyo hiyo hadi asubuhi mhhh (hii story haiaminiki maana ile asubuhi mzee mzima anapokuwa up na jamaa kaacha tuu mzee aendelee kuwa up mpaka mwanamke anaamka na kuvaa na kumwacha hivyo hivyo siiamini eti)

hivi kama angekuwa amelala na dume mwenzake angamkumbatia au anajua atendalo???
 
You are looking for trouble! Dawa ya kuishinda dhambi ni kuikimbia dhambi! Unajifunika shuka moja na mke asiye wako and you still hope somehow you going to survive from that
 
Duh hii ni extract ya kwenye kitabu au scene ya kwenye episode fulani ?

Tungojee Season 1 Episode 2 (Day 2)

Will He... Wont He..., "wait for tonight episode"

Mkuu mimi nita-tune kuangalia leo weka updates kwenye post yako ya juu sababu sina muda wa ku-rewind na ku-forward
 
Ushaingia kwenye tatizo.
Ukimwachia atawaambia mashoga zake kuwa jamaa hamna kitu, nimelala nae hajanigusa.
Ukifanya nae anakuganda, mkirudi home jua lunch, vocha na vinginevyo juu yako, wacha mbali simu na sms za mara kwa mara ambazo mkeo atajazigundua.
Chagua tatizo!
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious,Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.
Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana.
Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo.
Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.
Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.
Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.
Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh.
Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.
Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Nadhani hukumwelewa vizuri huyo mfanyakazi mwenzio. Aliposema msave gharama alimaanisha gharama za wewe kutafuta changudoa na gharama za yeye kutafuta kaboy ka kumsuuza.
 
Back
Top Bottom