Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Mtihqni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawishi utakumaliza na kwann mnategana kiasi hicho? Haitakiwi kabisa amekuingiza sehemu ambayo hutaweza kutoka, endelea kushangaa mchezo lazima akukabe na ufanye nae tuu, kama unampenda mkeo wacha hyo mambo, tafuta chumba kingine japo ulishakosea mwanzoni, but wacha akuone mwanaume dhaifu lkn kumbe jasir mbele za Mungu na mke wako uliyemuacha home, Huyo mwanamke anaonekana ana shida ni kawaida yake, japo mm nimewah lala na mdada nilikuwa nasoma naae Advance dodoma, tukaenda kwake lkn ni mm nilimuambia naomba nilale kwake wakat huo sikuwa na hofu ya Mungu vzur, akanipa shuka tukalala wote kila mtu naa shuka lake, sikumgusa hata na yeye hakufanya hvo, issue ni mind tuu, ukiandaa mind kufanya hvo lazima ufanye tuu. Mungu akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili liliwahi kunipata but ilikuwa hakuna namna but nashukuru nilishinda japo hakuamini kama inawezekana bila.....but aliniheshimu sana
 
Kama wewe ni rijali na yeye ni bint mwemye matamanio trust me lazima mumalize. Ingawa hii ni story ya kutunga kwani unajiaminije kuanzisha uzi ukijua kua yeye na mumewe waweza kua member JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa mimi ningemkula huyo,tena si kidogo.

KABISA, KWANZA HUYO BINTI KAMPA BURE HAJIELEWI TU.

SASA NGOJA AKAHADITHIE WENZIE ALIVYOLALA NA NYUKI WA MASHINENI.
 
KABISA, KWANZA HUYO BINTI KAMPA BURE HAJIELEWI TU.

SASA NGOJA AKAHADITHIE WENZIE ALIVYOLALA NA NYUKI WA MASHINENI.
Mkuu vya bure ni hatari, utazawadiwa ukimwi
 
Mkuu sidhani kama unaipenda ndoa yako
Maana kulla na mwanamke ambaye sio mke wako chumba kimoja tena kitanda kimoja kwa siku tano na utegemee miujiza ni ngumu
Achana na hizo mambo za kusave utasave pesa ila ndoa yako itakuwa imeingia kwenye mkopo
Kama umeoa mkeo kapata mume bora hongera kwa mkeo kupata bahati yakupata mume bora maana kwa maneno yako nimegundua umtu Wa aina gani God bless you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom