Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
mrejesho tafadhali, ilikuaje siku zilizofuata
 
Kama umeweza siku moja utashindwaje siku ya pili, tatu, nne na hatimaye tano? ila take from me hata ukiamua kuchukua chumba kingine kukwepa haya, mukirudi bongo atasambaza story kwamba wewe ni kimeo wala siyo riziki. Mi nadhani ungeangalia namna ya kutunza hiyo heshma yako kwa kumpiga mashine. Kwasababu mpaka sasa umeshusha sana heshma yako kwa ghalama ya ku-save
Ndoa bado zipo hatarini hata wasipodate,KULALA CHUMBA KIMOJA,KITANDA KIMOJA,SHUKA MOJA halaf wanandoa je wenza wao wakisikia au wakijua kuna amani hapo?

May Allah bless Me and You
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke
Ee mungu nipe ujasiri.
Bwashee mkanda uliishaje?
Wanikumbusha kisa changu flani na chotara la kikaburu
 
Piga mzigo jombaa, au subiri akakuseme vibaya

Jamii Forums mobile app
 
OH, UNAWAPA PRESHA WALIOOA AMBAO WAKE ZAO WANAENDA SEMINA..

MKUU, HUYO NI MKE WA MWANAUME MWENZIO, NAKUSHAURI UCHUKUE CHUMBA KINGINE

KWA MKUMBATIO HUO LEO LAZIMA UTAINGIA MTEGON MAANA HALI YA HEWA YA ASUBUH SYO NZURI KUKWEPA KITANZ CHA UZINZI..
Kisa cha miaka mingi sana mkuu
 
Nimejikuta nawaza bf wangu ninavyomuheshimu najinyima kwa ajiri yake kweli kama anafanya hayo yako he will never be happy.

Plz staki kuja kuona mrejesho eti shetani kakupitia bar.

Mambo mengine tufichwe tu
 
Ushawishi utakumaliza na kwann mnategana kiasi hicho? Haitakiwi kabisa amekuingiza sehemu ambayo hutaweza kutoka, endelea kushangaa mchezo lazima akukabe na ufanye nae tuu, kama unampenda mkeo wacha hyo mambo, tafuta chumba kingine japo ulishakosea mwanzoni, but wacha akuone mwanaume dhaifu lkn kumbe jasir mbele za Mungu na mke wako uliyemuacha home, Huyo mwanamke anaonekana ana shida ni kawaida yake, japo mm nimewah lala na mdada nilikuwa nasoma naae Advance dodoma, tukaenda kwake lkn ni mm nilimuambia naomba nilale kwake wakat huo sikuwa na hofu ya Mungu vzur, akanipa shuka tukalala wote kila mtu naa shuka lake, sikumgusa hata na yeye hakufanya hvo, issue ni mind tuu, ukiandaa mind kufanya hvo lazima ufanye tuu. Mungu akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom