Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Kama umeamua kwa dhati kuweka heshima ya ndoa yako basi ni vyema ukamtanguliza Mungu mbele na atakuepushia majaribu hayo.
Next time usikubali avue nguo mbele yako, na ukitaka kulala mlale mzungu 4...hii itakuepushia tamaa,vinginevyo hutatoboa mkuu.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Mkuu mrejesho vp uliweza??

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Wadada wanakuwa wabunifu sana wanapoona pesa, nasubiria mrejesho we chenji siku ya kurudi bongo...nakushauri ubakishe za wife bro.
 
zinaa inakimbiwa na sio maombi hivyo mawili ukimbie chumba au utatukimbia kutuambia kuwa ulikwama na ukapiga mechi! tegemea kuongeza dhambi nyingine ya kutudanganya kuwa haikuwa vile lakini ipo nyingine ipo mlangoni kuwa imenasa inabidi nikatoe mimba na ndipo injili inapokamilika dhambi huleta mauti.
 
Jiulize hivi" unaweza kumsimulia mke wako jinsi ulivyo save fedha zako za safari?"

Binafsi kama kweli umedhamiria kusave fedha kwa njia hiyo na unataka kurudi salama.
Kabla ya kulala "salini pamoja ,ndani ya maombi kemea uzinzi"

Hata jinsi ya ulalaji ni vyema mkalala MZUNGU WA NNE


Kama hutafanya haya we ndo unamawazo ya uzinzi juu ya mwanasemina mwenzio sasa jiandae kuadhirika .
 
Shetani anacheza na akili zenu wote wawili!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom