Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Cha msingi jitahidi kununua condom in case. Na kwa vyovyote hamtatoboa bila kupeana. Lakini utambue kuwa itakupa shida sana usipokula huyo mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Samahani ndugu..hili wala si la kuleta hapa,ni la kujiongeza tu maana hapa ushauli utakaoupata utakupelekea kufanya uzinzi na mke wa mtu na hiyo dhambi itawatafuna wote maana mkeo atazini na mume wa huyo dada nae atachepuka,malipo yapo hapa hapa duniani kabla hata hujakufa.hama hicho chumba haraka kama kweli nia yako siyo mbaya.huu ndo ushauli wangu ambao kama ningeona uzi huu enzi hizo ningesema haya lakini nilichelewa

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Nimejikuta nawaza bf wangu ninavyomuheshimu najinyima kwa ajiri yake kweli kama anafanya hayo yako he will never be happy.

Plz staki kuja kuona mrejesho eti shetani kakupitia bar.
 
Nimejikuta nawaza bf wangu ninavyomuheshimu najinyima kwa ajiri yake kweli kama anafanya hayo yako he will never be happy.

Plz staki kuja kuona mrejesho eti shetani kakupitia bar.


kumbe hujawajua hawa viumbe eh!
 
Haiiniingii akilinia bado utakua umetunga wewe

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
OH, UNAWAPA PRESHA WALIOOA AMBAO WAKE ZAO WANAENDA SEMINA..

MKUU, HUYO NI MKE WA MWANAUME MWENZIO, NAKUSHAURI UCHUKUE CHUMBA KINGINE

KWA MKUMBATIO HUO LEO LAZIMA UTAINGIA MTEGON MAANA HALI YA HEWA YA ASUBUH SYO NZURI KUKWEPA KITANZ CHA UZINZI..
 
Back
Top Bottom