Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Wanaume watano kila mmoja akituma 20000 basi kwa siku ana 100000 biashara nzuri sana hii. 😂 😂
Kwa mwezi ana ana si chini ya millioni 2.5. Zaidi ya mshahara wa daktari bingwa 😂 😂 😂 haina kodi
Kutuma 2000l0 kila siku kwa mwezi mzima ni ngumu mkuu. Ila kwa wiki au wikimbili inatumwa freshi
 
Sawa mama yangu uliyenizaa unaujua mpaka umri wangu
Wewe umri wako under 25 unakufanya uwe mshamba wa mapenzi. We endelea kujipigia tu. Huyo mume wake nae ni mshamba tu,yeye badala apange mikakati ya kukupaka futa yeye anaenda kujiongezea tatizo kwa malaya. Jipigiage tu. Sema nini? Soon utaachiwa kulipa Ada za hao watoto
 
Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu.

Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana facebook ilikuwa hivi,
Baada ya kuona kuwa na mpenzi hapa mjini ni gharama sana, niliingia facebook na kupost kwenye Group moja kwamba nahitaji mwanamke wa kuwa anakuja kunipa penzi na mimi nitamlipa 20k kwa goli moja, hiyo itakuwa tunakutana kila baada ya wiki 2 au tatu mara moja.

Hapo ndiyo alikuja huyo mwanamke alinitumia ujumbe Inbox huku akijinadi kwamba yeye ni mzuri na ameumbika kwahiyo 20k haitoshi kwake.
Alielezea mambo mengi kuhusu uzuri wake na jinsi alivyoumbika.
Akaniambia kama nahitaji kuwa naye basi nimtumie 250,000/= anadaiwa kodi. Kwakuwa huo uwezo wa kuhonga laki mbili na zaidi sina, nikamwambia nimeshindwa hayo mahusiano.

Kwakuwa alikuwa ameshanipa namba yake na aliniambia anaishi Ubungo, na kuna picha zake kadhaa alituma, kwakweli wakuu ni mwanamke ambaye amejaaliwa tako.
Basi nikawa namsalimia kwa kumtumia sms, maana simu zangu alikuwa hapokei.
Sikuchoka kumtumia sms japo kwa wiki au mwezi mara moja, ikitokea amejibu sms yangu basi ananiomba hela, nilikuwa namtumia maana wakuu ni mwanamke ameumbika yaani nashindwa kuelezea hapa.

Ngoja nifupishe stori, siku moja mida ya mchana alinitumia sms kwamba anakuja geto, niliona maajabu.
Fasta nikasafisha geto na kuweka mazingira sawa, nikaenda Buguruni sheli kumpokea.

Kwakweli ule uzuri wa kwenye picha ulikuwa mara 100 zaidi.
Tukaenda mpaka geto kwangu, alikuja na matunda pale basi akayaandaa tukala wote.
Baada ya kumaliza kula matunda akavua nguo, akanisogelea na mimi akanitupa kitandani akanivua nguo na hatimae mechi ikaanza.
Nimetoa show mbili za kibabe sana siku ile, maana sijawahi kulala na mwanamke aliyeumbika kiasi kile wakuu!
Basi mechi imeisha salama na nikamsindikiza stendi.

Jambo la ajabu baada ya kuachana pale stendi, hakujibu tena sms wala kupokea simu zangu.
Kitu alichoniambia ni kwamba Naishi Uswahilini sana kwahiyo hawezi kuja tena geto, ili arudi tena labda nihame hapa Uswahilini au Twende hotelini.
Mimi kama kawaida sikuchoka, nilikuwa namtumia sms japo kwa wiki au mwezi mara moja. Na yeye kila akijibu sms yangu basi anaomba hela 10k au 20k na nilikuwa nampa wakuu, ni mwanamke ameumbika sana yaani kumpoteza ni kama umepoteza uhai.

Ngoja nifupishe stori wakuu, mida ya jioni leo kanitumia sms kwamba anakuja geto, ila hatokaa sana. Ikabidi nitoke kazini fasta niwahi geto kuweka mazingira sawa.

Nimefika geto natuma sms hajibu, ikabidi nimpigie simu kujua yuko wapi. Tumeongea kidogo tu akakata simu, nikajua kawaida yake, maana sijawahi kuongea naye kwenye simu zaidi ya dakika mbili, nikatuma sms.
Kumbe wakati amekata simu ni mume wake alikuwa amekuja, na alichukua simu kwamba kuna mtu anataka ampigie, sasa wakati simu anayo yeye mimi ndiyo sms zangu zikawa zinaingia.
Basi baada ya kuona kimya nikaachana naye.
Mara ghafla naona namba ngeni inanipigia, kupokea nasikia kama kelele, jamaa akaongea "Kuna dada amepata ajari ya bodaboda hapa maeneo ya External, vipi unamjua?"
Nikamjibu kwamba hebu mpe simu huyo dada niongee naye (Mpaka hapo nikawa najua labda ni matapeli wamenipigia simu)
Jamaa kajibu kwamba dada hawezi kuongea.
Akaniuliza "kwani wewe si muuza kuku?"
Nikamjibu hapana mimi siyo muuza kuku.
Akasema, nimekuta kwenye simu ya mke wangu amekusevu Muuza kuku Buguruni, ajabu naona sms mnawasiliana unamuita mke wako.
Sasa hapo nikawa sielewi elewi. Yule mwanamke alisema hajaolewa, kwamba mume wake waliachana huko Mkoani Geita, sasa hapa imekaa vipi? nikamwambia hebu mpe simu huyo dada niongee naye, nikiwa nimejiandaa kwamba kama ni sauti yake, nijue naisolve vipi hii inshu.
Jamaa hajanisikiliza, kaweka simu pembeni kama dakika 7 kaanza kushusha "kipigo heavy"

Baadae sana jamaa karudi kwenye laini nikamwambia anitumie namba ya huyo mwanamke, akanitumia, kumbe ni namba ya yule mwanamke.

Kwakweli wakuu nikaishiwa pozi.

Kwanini alinificha kwamba ameolewa?

Ikabidi sasa niongee na jamaa kama mwanaume mwenzangu, nikamuomba anipe A to Z kuhusu huyo mwanamke!

Ameongea mengi sana wakuu, ila kwa ufupi ni kwamba;
Huyu ni mke wake,
Wameishi wote kwa miaka zaidi ya 11 sasa,
Jamaa amemuoa huyu mwanamke akiwa na watoto wawili (kila mtoto na baba yake)
Akawachukua hao watoto na huduma zote anatoa yeye 100% miaka yote.
Amezaa naye mtoto mmoja.
Huyu jamaa ni mtu wa safari za muda mrefu, mwezi au miezi nje ya nchi.
Mpaka namaliza kuongea naye amesema anaenda bar akakusanye bamedi wote wa bar nzima wajifungie chumbani alewe na malaya apunguze hasira.

Kwahiyo wakuu naombeni mniombee msamaha kwa jamaa yetu, bila shaka yupo humu na ataona maoni yenu.
Nasema yupo humu maana kwenye mawasiliano yetu katumia sana neno "Mkuu"

Ajue mimi sina hatia, sikujua chochote, mke wake aliniambia uongo.


Update
Kuna watu wanasema hii ni chai, nimeweka screenshot ya moja ya ujumbe wake View attachment 3402619
We nae ulitembea na Malaya wa Zambezi tu iogope sana ubungo kijana utaishia kuvaa pampasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We nae ulitembea na Malaya wa Zambezi tu iogope sana ubungo kijana utaishia kuvaa pampasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah 🤣🤣🤣 sasa hapa unanishauri au unanisema
 
Ndy niko apa bar napotez mawazo
FB_IMG_1752338702933.jpg
 
Kumbuka ana watu tofauti tofauti. Anaweza wapanga 5 hadi 10 kila mmoja anamwomba 5000 hadi 20000. Mwanaume unajisifu kuwa demu huyu hana gharama kabisa akiomba hela nyingi 20000. Kumbe mnaotuma 20000, 5000 au 10,000 mpo kama 10 hivi 😂 😂 😂 😂
Kutuma 2000l0 kila siku kwa mwezi mzima ni ngumu mkuu. Ila kwa wiki au wikimbili inatumwa freshi
 
Mamndenyi leo kakasirika😅😅😅.
Kiukweli mke wa mtu usimletee ujinga.
Jana tu kuna muhindi amemsifia mke wa jamaa kwamba ni mzuri kwenye fast food.
Yule mumewe kama kusingekuwa na camera angeua mtu.
Aliondoka na alisema narudi.
Huwezi kumsifia mke wangu huku mi nipo hapa.
Jamaa alitisha sana
 
Kulala na mke wa mtu unajitafutia laana katika maisha yako ndugu yangu:

Achana na wake za watu kabisa:
 
Kuna Mwenzio juzi kakatwa UUME yani dushe linaning'inia. Shauri yako
 
Jamaa alitisha sana
Yaah ilikua nightmare.
Na alisema kabisa naweza kukuajiri wewe, boss wako na nikanunua hiki kibanda na ukarudi kwenu uuze matango.
Nafkiri jamaa alijiheshimu tu.
Angeweza kumchapa pale sekunde tu.
Hiyo ntarudi anatuma wauaji.
Hapo hamna msamaha.
 
Back
Top Bottom