Nimekwisha na UKIMWI

mie pia siamini kama alizaliwa nao,najua alikuwa anajaribu kujitetea,sikutaka kuanza kukwaruzana nae kutokana na hali yake ya mshono then kama mambo yashaharibika,nilichosikitika kwanini aliruhusu tukalipe mahari na kuanza maandalizi ya ndoa?kwanini hakuniambia tangu mapema juu ya afya yake hata kama mimi pia nilifanya uzembe wa kutokupima?
suala la clinic nilieleza kuwa sikuwa naishi nae ila nilitaka kuishi nae baada ya kufunga nae ndoa,na ndoa ili`delay ili tusubiri ajifungue kwanza,na ndio yametokea haya,kiufupi namuona ni mnyama huyu mwanamke,clinic alikuwa akienda mwenyewe na hakuwahi kutaka niione kadi ya clinic,kila nikiiulizia anaweka vipingamizi,na alikuwa anategea nipo mbali nae ndio ananiambia siku ya clinic imefika..,wakuu mnaweza kulaumu sana ila sikuwa mzee kama navyohukumiwa na baadhi ya wachangiaji,anyway nipo tayri kwa lolote nitakalokutana nalo,sina namna.....i tried to be a good man to my family and this is how i got paid,dunia haipo fair kabisa..
 
Hii habari ya kutunga, madaktari walijuaje kuwa alizaliwa nao?

Pili alishindwaje kujua iwapo alizaliwa nao, wazazi watakuwa walishakufa kwa ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio mke wa kuoa alitaka wote muwe na hali moja ili ushindwe kumuacha, Lakin nakushauri Kwanza kabixa usijilaumu kwa kutoenda kupima kabla kaka yangu wengi tu huwa tunafanya makosa hayo sio wewe peke yako wa kumlaumu ni Huyo muuaji asiye na huruma kushindwa kukwambia ukweli. Na kwavile ushamjua hata kama umekutwa navyo baada ya kupima sikushauri ukaishi 'na mtu mwenye u nyama kama huo, huwez jua kama kaweza kufanya hivi anaweza akakufanyia jingine lipi, ni bora ukatafuta mwingine mwenye hali kama yako mkaanzisha maisha, hiyo mahari uliyotoa sijui kama mna taratibu za kuirejesha otherwise fanya tu kama ulifanya investment ukapoteza, virus vya ukimwi sio mwisho unaweza ukawa na maisha mazuri ukazaa watoto wasio na maambukizi kabixa 'na ukaishi vizuri. Cha msingi ni KUIKUBALI HALI HIYO NA UTAISHI VIZURI HUYO MWANAMKE MUUAJI TUPA KWENYE DUSTBIN KABIXA HAKUFAI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna uzi fulani niliwahi kuuona huku jf ukishikilia kwamba hakuna UKIMWI na kwamba shirika kubwa duniani la kudhibiti madawa sijui ndio Rockefeller ndio wanaowaaminisha watu hivyo ili wapate market ya madawa yao ya ARVs..naona wengi humu wanaliamini hilo..
 
mie pia siamini kama alizaliwa nao,najua alikuwa anajaribu kujitetea,sikutaka kuanza kukwaruzan...i tried to be a good man to my family and this is how i got paid,dunia haipo fair kabisa..
Keep cool man, keep cool! Usichanganyikiwe kwa hili. Kuwa HIV positive siyo hukumu ya kifo. Kuna jamaa nawafamu wana zaidi ya miaka 18 wakiwa positive, wameoa na watoto ukiwaona hutajua. Ukiwa positive, kubali hali yako na fuata ushauri wa madaktari. Trust me, utaishi maisha mazuri tu kama mtu mwingine yeyote.
 
Hii habari ya kutunga, madaktari walijuaje kuwa alizaliwa nao?

Pili alishindwaje kujua iwapo alizaliwa nao, wazazi watakuwa walishakufa kwa ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kuleta uhuni wa kizamani na kujiona mjaanja wakati ni mjinga,sawa siku yako itafika ndio utaelewa kama nimetunga au laa!
nikusamehe tu maana nadhani hauelewi nini kinaendelea...
 
Pole sana mkuu.. Jambo la msingi kwasasa ni kukubaliana na hali halisi kuhusu afya ya mwenza wako na pia utilie mkazo hilo wazo la kwenda kupima ili ujue kama umeathirika au laa..
Kama umeathirika piga moyo konde na uonane na wataalamu wa afya watakupa maelezo ya kutosha ya namna ya kuishi kulingana na hali uliyonayo.
Note: Usipunguze mapenzi kwa mwenza wako au kuanza kumtupia lawama kwa kilichotokea maana hali yake ya kiafya bado haiko sawa usije ukamsababishia msongo wa mawazo wakati hata kidonda cha upasuaji aliofanyiwa hakijapona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kuleta uhuni wa kizamani na kujiona mjaanja wakati ni mjinga,sawa siku yako itafika ndio utaelewa kama nimetunga au laa!
nikusamehe tu maana nadhani hauelewi nini kinaendelea...
Hapana mkuu punguza jazba mkuu, kiuhalisia hakuna kipimo cha kuonyesha ukimwi umezaliwa au umeupata ukubwani, unaposema madaktari wamethibitisha kuwa amezaliwa nao inanipa mashaka kidogo mkuu.

Pili alijijua ghafla ukubwani, familia yake haikuwa ikijua kuhusu hili? Au hawakutaka kumwambia chochote?

Pole mkuu, ni safari ya maisha kuwa strong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachangiaji wote wako vizuri,ila wewe umechangia pumba.bora ungekaa kimya.
 
Pamoja na yote hayo isikute wewe ndie ulimletea mwenzio maradhi japo kakiri kuwa alizaliwa nao huenda kakujibu kwa sababu ya woga kumbe we ndo uliyemletea maradhi.


Wanawake weusi na utamu wao
 
Pamoja na yote hayo isikute wewe ndie ulimletea mwenzio maradhi japo kakiri kuwa alizaliwa nao huenda kakujibu kwa sababu ya woga kumbe we ndo uliyemletea maradhi.


Wanawake weusi na utamu wao
sio kweli mkuu,yeye nahisi alikuwa nao hata kama hajakutana na mimi halafu kuhusu mimi naomba uelewe kuwa hadi saiv sijui kama ninao au sina,acha chuki,,kesho ndio tutayajua yote juu ya nilipitialo,usinihukumu!
 
sio kweli mkuu,yeye nahisi alikuwa nao hata kama hajakutana na mimi halafu kuhusu mimi naomba uelewe kuwa hadi saiv sijui kama ninao au sina,acha chuki,,kesho ndio tutayajua yote juu ya nilipitialo,usinihukumu!
Unahisi ila hauna Uhakika! Ila ni mapema sana kuhukumu kabla wewe hujaijua Afya yako kwa kuwa historia haioneshi kwamba ulishapima ukaonekana salama na yeye kuonekana kaathirika.
 
Huwa wanafanya makosa Mamndenyi. Siku yoyote ile ukiambiwa kitu hospital moja basi usikiamini 100%. Niliona jamaa aliambiwa ana ukimwi akachanganyikiwa sana hata kushindwa kufanya kazi akaamua kuacha kazi huku akitumia madawa.

Baada ya miaka mitano akakutana na mtu akamwambia hizo results kuna wakati haziko sawa hivyo aende akapime kwingine. Huko ndipo alipogundua kwamba hana ukimwi na akaamua kufungua kesi ya madai dhidi ya ile hospital waliyodai ana HIV. Sijui alilipwa mamilioni mangapi.

Hosp tano zote yaani moja hautaiamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu mbona una jitia fikra pevu ambazo zitakufanya uzidi kupoteza muelekeo,watu ukimwi kwao ihisi ndio alama ya kifo,lah siri yenyewe halisi inayo fanya gonjwa ili kua tishio si kua dawa halina tuu,bali mara nyingi kwa asilimia nyingi asili yake ni kile tunacho kiita uzinzi /au zinaa na hili japo wengi atulijali lakini lina tutafuna ki imani,kiufupi ni gonjwa ambalo ndali yake huonekana kafedhea kwa kukosa kuzingatia miko na maadli au taratbu zilizo ndani ya jamii-ndo maana ungojwa huu wengi walio nao hua siri kwa kuogopa kuoneka watu walio vuka mipaka kwakweli yapo magonjwa mazito zaidi kama cancer/kisukari,na kadhalika lakn mtu akiwa nayo ni rahisi kueleweka zaid-ushauri wangu mkuu kama majibu yatakua ya wasi wasi fata ushauri wa madaktri na hofu ondoa utaishi maisha yako yote kama watu wengne,bila shida yoyote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…