Hongera...Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
MSHANGAZI hongera zako!Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Sasa umeleta mada na hutaki tuchangie?Jikite kwenye mada mkuu
Sina muda wa kujibizana na ww i have a lot of things on ma table to deal with
Weeh!! Usinambie 😹Heheh rere yupo Cuba masomoni hata mwanae hajamuona😁
nilitaka kukuita uibe ufundi wa kuzaa kwa mwenzako kabla sijaweka msisitizo wa wewe u adopt mtoto... huku simiyu wapo wa kutosha,Weeh!! Usinambie 😹
😹😹 Niadopt mtoto wa nini wakati nyie mmebanjuka mpk mmewapata..!!nilitaka kukuita uibe ufundi wa kuzaa kwa mwenzako kabla sijaweka msisitizo wa wewe u adopt mtoto... huku simiyu wapo wa kutosha,
Haya bana... mimi nakusubiri hapa jukwaani ulete mrejesho😹😹 Niadopt mtoto wa nini wakati nyie mmebanjuka mpk mmewapata..!!
Na mimi nitafanya mchezo mbaya km nyie mpk apatikane..!🤣