Fo li ku lo ste Le tiAisee ila jina gumu hili hivi linatamkwaje?
Aisee🤣
Ni kweli umepata mtoto au una wish kuwa na mtoto?Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Aya sawa sawa mrs.nyamwiYeah nilichoka sana sikuwa sawa
Hivi karibuniWewe tayari au bado?
Baba ubatizo🤣🤣😅Hongera Sana ukitaka kumpa jina na kumbatiza nipo hapa Baba Mchungaji
Thanks buddyIf that was true hongera kwa kuongeza member mwingine wa jf.View attachment 3296038