Wakiume huyo mzee baba lomolomo sijui amefanyaje mpaka amejifungua hahaSasa tutajuaje ni kweli?
Kuna mambo humu muda mwingine yanafikirisha.
Karibu sana, huku ni kupambana mwanzo mwisho.asante coca.
wacha niingie mchezoni sasa
BasiSijakuelewa
Ashkuriwe Mungu. Kumbuka sadaka ya shukrani. Japo kwa wamama wahitaji wanaojifungua.Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Noted
Hongera sana mamitooSana sana raha yake haielezeki yan