Usijali ukiona hivi ujue atakuja fanana na weweAisee nimetoka kapa😅
Wewe tayari au bado?Hongera sana
Hongera mkuu wa kike au ana mushededeHamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Ebu piga mtori hapo ,chapu.We ulisikia wapi min
SafiiiiiBasi kila muda nalala tu
Jina mpe cassnzoba 👀Jina ashapewa tayari
Hahahahaha nipo hatimaye miezi Tisa imeishaaa umetuletea mjombaa hongeraaaa sanaNi wewe kumbe udugu wangu 😁
Hahahahaha niliona mambo ya privacy tu Kuna Watu wameanza kuifahamu I'd yangu ndo maana nikaona nichange tuAsante sana sa imekuwaje umebadili ID