Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Hakuna mrembo humu ndugu.
naongea hivyo according to.
wadada kibao walokwisha nitumia mipicha yao PM
Cjui mitizamo ya wengine ila kwa vipimo vyangu hakuna warembo aisee.
wamechoka tu .
ingawa hapa wanajiona wajanjaa.
na MKIZINGUA NAWATAJA na mipicha yenu naiweka hapa
Teh! Wa kwanza mimi sura yangu inatisha ka ngumi ya jambazi!
Ila sasa kabla hujaweka picha za hao wadada au kuwataja tuonyeshe kwanza ya kwako tukuone na we kidume unakiwango gani.