Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

dogo upo wapi?tuonane afu uje kusema hapa i will take care of everythin.Tatizo ni kwamba wadada wa humu tumeenda shule vilaza wacheza show hakuna so jipange kwa mtu kama wewe hutuwezi

Ha ha a nipo Sinza mori ila Dada angu kwa vipimo na vigezo vyangu nikilinganisha na wadada wakari ninaokutana nao kila siku
kwenye kaz zangu nathubutu kusema hakuna yani hakuna warembo hum kuna wajuaji tu.
na kuna wenzako wanitumiaga mipicha yao PM.
na wwkizngua tu nawataja n mipicha yao.
 
dogo upo wapi?tuonane afu uje kusema hapa i will take care of everythin.Tatizo ni kwamba wadada wa humu tumeenda shule vilaza wacheza show hakuna so jipange kwa mtu kama wewe hutuwezi

Kwanza futa usemi wa kuniita dogo.
ns cjui size cjui..unhepata nafasi ya kuona wenzako huku wanvyopigana vikumbo
ungesema samahan faster

yan kuna watu hapa wananchukulia poa mpaka nawashanga.
kwel usimjudge mtu usiemjua
 
Hakuna mrembo humu ndugu.
naongea hivyo according to.
wadada kibao walokwisha nitumia mipicha yao PM
Cjui mitizamo ya wengine ila kwa vipimo vyangu hakuna warembo aisee.
wamechoka tu .
ingawa hapa wanajiona wajanjaa.
na MKIZINGUA NAWATAJA na mipicha yenu naiweka hapa

Kwi kwi kwi kwi kwi!!!Mkuu umeweka bonge la biti, alafu action hakuna, dah JF raha kila nikiwa humu nahisi niko Home.
 
Mmmmmmmmmh! Siku moja wehuka halafu utupie mipicha yao; hahahahaha
Hakuna mrembo humu ndugu.
naongea hivyo according to.
wadada kibao walokwisha nitumia mipicha yao PM
Cjui mitizamo ya wengine ila kwa vipimo vyangu hakuna warembo aisee.
wamechoka tu .
ingawa hapa wanajiona wajanjaa.
na MKIZINGUA NAWATAJA na mipicha yenu naiweka hapa
 
umezungumzia katoka kuogelea hapa mwili mzima umenisisimka nimemiss sana swiming,next week end comber beach patanihusu sana.
 
Ha ha a nipo Sinza mori ila Dada angu kwa vipimo na vigezo vyangu nikilinganisha na wadada wakari ninaokutana nao kila siku
kwenye kaz zangu nathubutu kusema hakuna yani hakuna warembo hum kuna wajuaji tu.
na kuna wenzako wanitumiaga mipicha yao PM.
na wwkizngua tu nawataja n mipicha yao.

Hapo utasababisha thread ikose wachangiaji kabsaaaaaaaaaaa
 
unatumia nokia ya tochi kama mimi nin? Ulishndwaje kuambatanisha na wala kafoto kamoja tuthaminishe?
 
Naomba kutoka for a short call nitarudi
 
Nilikua na mke na watoto, mkuu.....ningekua mwenyewe wala usingeiona hii post humu......

Kwani mkeo hajasimama? Muwe na uamuzi makini wakati wa kuchagua, wachagua kingine na kutamani kwingine. Ndio nini sasa. hakikisheni unayemchagua anakufiti hasa muachane na tamaa.
 
Ha ha a nipo Sinza mori ila Dada angu kwa vipimo na vigezo vyangu nikilinganisha na wadada wakari ninaokutana nao kila siku
kwenye kaz zangu nathubutu kusema hakuna yani hakuna warembo hum kuna wajuaji tu.
na kuna wenzako wanitumiaga mipicha yao PM.
na wwkizngua tu nawataja n mipicha yao.

Wanaokutumia picha Kibungo kama wewe kazi wanayo kweli......mwaga mipicha yao tuwaone!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom