Huyu heaven on desert ni House boy na mkata majani nyumbani kwa Diamond.
Kazi yake ndo hiyo.
mh kwani haya mambo ya kuangalia mtu anavalia suruali wap kama kigezo cha kuwa mpenzi wako, bado yapo ?
KUMBE NDIO MAANA ULIKUWA UNAMWANGALIA KIMACHALE YULE DADA SASA NGOJA LEO UKIRUDI NYUMBANI UTANIELEZA VIZURI.:msela::msela:
Ni mzuri jamani...kweli JF kuna vyombo.........huyu dada alikua ana iPAD ina black cover..... ilkua upande wa mbezi beach......alitoka kuogelea akaja counter amevaa kanga, juu ana bra tu. Nimemtambuaje?: alikaa pembeni yangu akaaagiza "Magaritta" (sina uakika na spelling) alikua busy na kuchat...wakati mwingine alitabasamu mwenyewe......nilivutiwa na nikaamua niwe mdadisi......kuchungulia....nikaona JF home page......nikajisogeza karibu.......nikaona anachat ila sikufanikikiwa kuona ni forum ipi alikua. Kama wewe dada unanisoma ...baaasi ujue umesimama........JF ni nouma aisee..... umesimama dada.
hata mie nashangaa kanajishaua tu hakuna wa kumtumia picha mtu kama yeye.Zero brain,pesa hana anamtegemea mwanaume mwenziye,kazi yake kukata viuno,kubong'oa,elimu hana,kwa ile picha yake anaonekana kabamia tena kakisimama kanalegea. Madame B njoo umalizie
Ha ha ha hii sredi imenikosha nafsi burudani hapa!
Hakuna dhambi kubwa kama ya kutojiamini
Hapa nimecheka mpaka basi, nilikuwa nataka kuprove vizuri kama kweli ilikuwa ni wewe. ila nimeona umewahi nyumbani sina shaka kumwangalia ni macho tu ulipitiwa.Ila uwe unawahi kila siku.Hakiyanani ulitisha kweli wewe jana.....nimewahi kweli nyumbani nikajua my wife yuko JF kumbe mkwara tu......ephhh
Hapa nimecheka mpaka basi, nilikuwa nataka kuprove vizuri kama kweli ilikuwa ni wewe. ila nimeona umewahi nyumbani sina shaka kumwangalia ni macho tu ulipitiwa.Ila uwe unawahi kila siku.
Huyu heaven on desert ni House boy na mkata majani nyumbani kwa Diamond.
Kazi yake ndo hiyo.
hata mie nashangaa kanajishaua tu hakuna wa kumtumia picha mtu kama yeye.Zero brain,pesa hana anamtegemea mwanaume mwenziye,kazi yake kukata viuno,kubong'oa,elimu hana,kwa ile picha yake anaonekana kabamia tena kakisimama kanalegea. Madame B njoo umalizie
aliyekuwa akiogelea keshajitoa mhanga tayari ha ha ha!!!Kwani wewe ulikua kule.....kwene kuogelea
aliyekuwa akiogelea keshajitoa mhanga tayari ha ha ha!!!
Ha ha ha hebu nicheke tena zaidi kwani umeambiwa waliokuwepo hapa ni walochakaa tu lol kuna watu wa kila aina humu wewe wenye wadhifa tofauti n.kMuhanga..? hahahaha......kwa kweli amenifanya niipende JF zaidi...mwanzo nilikua sijui kama na deal na very hot ,sexy & smart chics.......that chic was fine.
Ha ha ha hebu nicheke tena zaidi kwani umeambiwa waliokuwepo hapa ni walochakaa tu lol kuna watu wa kila aina humu wewe wenye wadhifa tofauti n.k
Hujatulia kabisa wewe si una mke lakini jiheshimu!!!!Saa nyingine ni "Utomaso" tu....mpaka nimeona ndio nimeamini.....sasa bado kugusa/kuchovya kidole kwenye kidonda ndio niamini fullu......hehehhehe.
Hujatulia kabisa wewe si una mke lakini jiheshimu!!!!