Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

Ni mzuri jamani...kweli JF kuna vyombo.........huyu dada alikua ana iPAD ina black cover..... ilkua upande wa mbezi beach......alitoka kuogelea akaja counter amevaa kanga, juu ana bra tu. Nimemtambuaje?: alikaa pembeni yangu akaaagiza "Magaritta" (sina uakika na spelling) alikua busy na kuchat...wakati mwingine alitabasamu mwenyewe......nilivutiwa na nikaamua niwe mdadisi......kuchungulia....nikaona JF home page......nikajisogeza karibu.......nikaona anachat ila sikufanikikiwa kuona ni forum ipi alikua. Kama wewe dada unanisoma ...baaasi ujue umesimama........JF ni nouma aisee..... umesimama dada.
Pole sana ,nadhani atajongea humu...
 
hahaa ungemsabahi basi...sio mbaya

Bi mkubwa alikua too close for comfort ...pia alikua kavaa miwani meusi hivyo hujui anaangali direction ipi....next time ntakua alone nitakuhug kabisa sio kukusabahi tu.
 
hapana tena bora hata ulipoishia kutumbua mimacho maana ungechukua namba sijui ingekuaje ungeniharibia ndoa yangu bureee

We nawe nimekuweka kwenye mizani.....ndoa unaweza usipate hapa!!!!Unahonga vimilion 2 nivifanyie kaz gan????
 
Ubahili tu......ulijua gharama zitakuangukia!!!eti watoto,kwani umezaa dunia???

hahahahahaha...Miss strong kama kweli ni wewe basi umepinda hahahahah.....inabidi uwe na watoto na wewe ili kauli kama hii isikutoke tena.
Hongera kwa muumba kwa kukupa sifa zote ulizomwagiwa hapa na kama hata kitandani upo kama ulivyosifiwa.
 
Next time ntakua mwenyewe......labda usitoke kwenye maji...hapo utakua umeniweza maana kuogelea siwezi...hehehhe.....
kama ni mimi ningeanzia hapa hapa leo hii kwenye JF halafu tukimiti next time ni Sinning in progress tu.
hakuna mwanamke anashindikana ni mazingira and season tu vinahitajika.
season namaanisha usijikutanishe kipindi cha boom kwa wote nenda miezi dume au tarehe dume. bila kusahau simu ya kijasiria mali.. si unajua wajasiria mali sim zetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom