miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Watu mnavisa!!
Tena si kidogo......kuchungulis iPad yangu ndo kaniacha hoi!!!
Watu mnavisa!!
kama kweli ni wewe basi itabidi nami niingie kwenye hii ligi ila i will have to ask somethings from Sarikoki bila kusahau permission ya kuingia kwenye ligi.Utanifanyaje????mbona ulikuwa unaogopa sasa???pole weeee
Tena si kidogo......kuchungulis iPad yangu ndo kaniacha hoi!!!
Tuma pesa......iwekwe picha watu waone
Nilimpigia tinted mbayaaaaa......sikutaka aulize chochote.Na angeendelea kuchungulia angenikoma!!!!
Kilichonifanya niangalie zaidi ni boobs..! hizo ndizo zilinifanya macho yaangalie pande hizo. Jamani..sitaki kukumbuka
millioni mbili bado ndogo? duh angalia usisababishe mama akakutwa na yaliyomkuta mama mwenzie...We nawe nimekuweka kwenye mizani.....ndoa unaweza usipate hapa!!!!Unahonga vimilion 2 nivifanyie kaz gan????
Ubahili tu......ulijua gharama zitakuangukia!!!eti watoto,kwani umezaa dunia???
Mbona 'umepotezea' swali kuwa ulikuwa unajinadi na kiIpad chako!? Comment please..
millioni mbili bado ndogo? duh angalia usisababishe mama akakutwa na yaliyomkuta mama mwenzie...
Kumbe wewe ni mmoja wa watu mnaochungulia communication za watu, itakuwa hata watuma meseji huwa unatupia jicho.....
Utakuja wewe......shaurilako.
wewe field huwezi maana ulishindwa kuchukua hata user name uka mp au alikuwa kama guest?Kama ilikua biashara kwa kweli watakua wanauza.....ila kalikua kazuri kwa kweli.
Kifurushi chako cha maongez kinasomeka eeeeh????
ila kwa mbali naanza kuvuta picha kuwa ng'ombe mkali ndo mwenye maziwa!Nzi kufia kwenye kidonda ni halal yake....usijali!!!
Li iPAD lilivyolikubwa..hata kama utaki kuchungulia unajikuta unachungulia...especial JF addicted kama mimi nikiona tu home page lazima nitakuchungulia mkuu....... wengine wakiona JF home page ni sawa sawa na wameona demu kakaa uchi....macho yanavyowatoka.