Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

hata mie nashangaa kanajishaua tu hakuna wa kumtumia picha mtu kama yeye.Zero brain,pesa hana anamtegemea mwanaume mwenziye,kazi yake kukata viuno,kubong'oa,elimu hana,kwa ile picha yake anaonekana kabamia tena kakisimama kanalegea. Madame B njoo umalizie

Hajielewi huyo.........yupo yupo,kaja juz toka shamba huko ----- la ndoo sasa hv analeta ujuaji wa mademu wake wa rozana.
Chefuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Really then you should listen at yourself!

mimi..r u serious? pls this is stress free zone honey........we are just having fun.....kama wewe tu ukiwa kwenye kitchen party au kwa msusi.
 
Weka hapa ushahid wa unachokisema we limama

Njemba kaingia rum kwako baada yakuleta purukushan umtoe......mtoto wa kiume unatulia kimya una ngoja abebe kitu ili upate ushahid mwisho wa siku anakukojolea unaambiwa usioge ndan ya masaa fulan ili usipoteze ushahid.

Si kila jambo uletwe ushahid!!!!lol.......
 
Kwa maelezo yako huyo lzm ni wangu DEMBA maana alikuwa hapo siku hiyo na hizo ndiyo sifa zake na zingine fichika nazijua mm tu!Mheshimu shem wako ndugu yangu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom