Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

Nimekutana na mdada wa JF...ni balaa!

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Ni mzuri jamani...kweli JF kuna vyombo.........huyu dada alikua ana iPAD ina black cover..... ilkua upande wa mbezi beach......alitoka kuogelea akaja counter amevaa kanga, juu ana bra tu. Nimemtambuaje?: alikaa pembeni yangu akaaagiza "Magaritta" (sina uakika na spelling) alikua busy na kuchat...wakati mwingine alitabasamu mwenyewe......nilivutiwa na nikaamua niwe mdadisi......kuchungulia....nikaona JF home page......nikajisogeza karibu.......nikaona anachat ila sikufanikikiwa kuona ni forum ipi alikua. Kama wewe dada unanisoma ...baaasi ujue umesimama........JF ni nouma aisee..... umesimama dada.
 
upererezi wako haujakamirika!

rudi tena mbezi umfuatirie!

over!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya nadhani umefanikiwa lakini utakula kwa macho tuuu....

Nitarudi tena mwenyewe this weekend......ole wake nimkute....na ile kitu anakunywa ina rangi ya blue....aagh mbona kazi rahisi sana.
 
aisee wewe ni mbaya kwa promo!!ila sema tu stori yako ina part ya udomo zege!!mbona hukufunguka sasa umeishia tu kutoa mimacho
wGTnSm HxwxFgAAAABJRU5ErkJggg==

wGTnSm HxwxFgAAAABJRU5ErkJggg==
 
Teh teh teh.......utajijua mwenyewe!!!ila sijapenda,uliniona kwa bahati mbaya tu pale

Next time ntakua mwenyewe......labda usitoke kwenye maji...hapo utakua umeniweza maana kuogelea siwezi...hehehhe.....
 
Atakuwa Christine ibrahm kwasababu jana alipendeza na miwan hyo.....mtoto mkali sana yule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom