- Thread starter
- #61
wewe field huwezi maana ulishindwa kuchukua hata user name uka mp au alikuwa kama guest?
Kaka hicho ni kipaji na inatakiwa uwe nacho........hakua guest maana alikua anachat...anareply post......... pia wengine tumeoa mabondia alafu nilkua naye na alikua position mbaya na amevaa sungalass....hivyo ilibidi niwe mpole.