Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,469
- 2,207
Kuperuzi na kudadisi haitakiwi mpaka uone kwa macho na kushuhudia ndio maanaa mahakamani hakunaga ushaidi wa kusikia kuambiwa au kuhisi dadaHivi mkeo hapendi sokoni, salon, au kimatembezi yake binafsi? Hawezi kukaa sehemu ana hamu na kitu fulani, huu ndio unafki wenu wanaume