Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Tatizo wewe ni msumbufu kitandani na hutaki kunivalia shanga,so acha tu nipambane na hali yangu.
 
Mwambie mumeo mkapime kwanza kabla ya kukaa na kushangaa.. na labda mtoto/watoto.
 
Kumchunguza mwanaume nikujitakia presha zisokuwa na mbele wala nyuma.Huo mda wakumchunguza ni bora nikaanzisha biashara inikeep busy
 
a3c4ba3b8cc657048d5c4a64700b8252.jpg

Habari zenu wadau wa humu!

Ushauri wa shosti wangu alinishauri kwenda katika bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula katikati hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa kwenye hiyo meza Duh! umbe ndio mchepuko wa mume wangu!

Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisaaa.

Wanaume hivi ni kwa nini mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisaaa mwenzenu
Kwa nini unapenda kula vyakula vya baa mpka ukafika level ya kuwazoea wahudumu? Kwa taarifa yako mmeo ni mstaarabu na wala hajawahi kutoka na huyo mtu, wamekuchezea mchezo, ukisusa wao wanakula!
 
Tatizo mnatuzingua sana nyinyi wanawake. Mume akiomba mchezo mnasema mmechoka then hakuna mabadiliko yoyote, mnakosa ubunifu kwenye ndoa zenu ndio maana Mabaamed wanapata soko
 
Danganya toto wewe
 
Tatizo mnatuzingua sana nyinyi wanawake. Mume akiomba mchezo mnasema mmechoka then hakuna mabadiliko yoyote, mnakosa ubunifu kwenye ndoa zenu ndio maana Mabaamed wanapata soko
Huo ndio upendo? Kabla ujafa hujaumbika sasa km nimechoka kesho niwe mlemavu si ndio utakimbia, hamna upendo hapo
 
a3c4ba3b8cc657048d5c4a64700b8252.jpg

Habari zenu wadau wa humu!

Ushauri wa shosti wangu alinishauri kwenda katika bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula katikati hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa kwenye hiyo meza Duh! umbe ndio mchepuko wa mume wangu!

Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisaaa.

Wanaume hivi ni kwa nini mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisaaa mwenzenu
na wewe hujachukuliwa na muuza nyama?
aisee wewe hata hukufaa kuwa mke.Badala kukaa nyumbani unaenda kuzunguka kwenye mabaa kuwatafuta wauza nyama
 
Back
Top Bottom