najifunza mengi tu..na sijakataa kuna wanawake wanna matatizo mengi tu ila nimezungumzia unzinzi sababu unawatafuna wanaume wengi kwenye ndoa Sao.Wanaume sawa but ukiwa haujaingia ndoa kuna mengi ya kujifunza nje ya ndoa which is advantage to you nikushauri tu penda kujifunza bila kuweka negativity about certain gender sababu hutajioa bali utakua na mwenzako
Siko hapa kumuweka flani mbele au ku win argument nah Mimi ni mwana ndoa ninaefurahia ndoa sasa ninaposikia matatizo ya ndoa uwa napenda kujifunza na napenda kuvaa via thnajifunza mengi tu..na sijakataa kuna wanawake wanna matatizo mengi tu ila nimezungumzia unzinzi sababu unawatafuna wanaume wengi kwenye ndoa Sao.
Magonjwa mnunulie condomNa magonjwa ni vipi?
nawe badilika, usimbanie papuchi mumeoWanaume badirikeni jamani kha!
ukimchunguza sana kuku utauona mkojo wakeukimchunguza sana kuku --------
Je ulishalusanya ushaidi wa kutosha na kufanya upelelezi wa kina wa kuweza kumtuhumu kiasi hicho?Je hayo umeambuwa au umeyaona mwenyewe? Na je ulienda kufuata nini bar wakati ww ni mke wa nyumbani!na je nyumba ulimwachia nani siku hiyo? Hebu tuanzie hapo![]()
Habari zenu wadau wa humu!
Ushauri wa Shosti wangu alinishauri kwenda ktk bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula ktkt hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa ktk hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu!
Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisaaa.
Wanaume hivi ni kwa nn mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisaaa mwenzenu
Acha uongo wako, wanaume ndio kutwa kuokota mizoga yaani nabaki kusema hivi mnatia aibu, zamani oh mwanamke akienda salon uko lazima atafunwe bhana badirikeni tuWewe umesema ukazoeana "kupitiliza" hapo baa??
Ha ha ha!! Unakaribia kuliwa kama bado hawajakutafuna!!!
Mwanamke ukizidisha safari za baa ujue hayuko salama!!
Hivi mkeo hapendi sokoni, salon, au kimatembezi yake binafsi? Hawezi kukaa sehemu ana hamu na kitu fulani, huu ndio unafki wenu wanaumeJe ulishalusanya ushaidi wa kutosha na kufanya upelelezi wa kina wa kuweza kumtuhumu kiasi hicho?Je hayo umeambuwa au umeyaona mwenyewe? Na je ulienda kufuata nini bar wakati ww ni mke wa nyumbani!na je nyumba ulimwachia nani siku hiyo? Hebu tuanzie hapo
Naona km napakwa uchafu, unajua kuna dada aliniambia amefika sehemu hawezi kufanya romance na mumewe sikumuelewa, tena akaniambia alipogundua mumewe ana mchepuko akamwambia waende kupima magonjwa kwanza, nilichogundua ni kwamba unaweza ktk ndoa ukafa hivi hivi kwa presha na ukimwi huku unajionapole sana mamy!ni kweli hapo hisia lazima zikate !usiombe hisia zikate jaman jaman !ninkero na inaumiza unakuwa km mfungwa vile !au km unabakwa vile!ptu
Kwa haya nionayo kuna hisia kweli?nawe badilika, usimbanie papuchi mumeo
Kwa haya nionayo kuna hisia kweli?nawe badilika, usimbanie papuchi mumeo