Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Yan umeamua kunileta huku mke wangu si tungeyaongea tuu tuyamalizia kifamilia [emoji22][emoji22]
 
Pole yako bibie...hii si pia iko covered ktk ule msemo wa 'shida na raha'? Basi uvumilie..
 
p
a3c4ba3b8cc657048d5c4a64700b8252.jpg


Habari zenu wadau wa humu,

Ushauri wa shosti wangu alinishauri kwenda katika bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula katikati hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa kwenye hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu.

Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisa.

Wanaume hivi ni kwanini mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisa mwenzenu.
pov loading.....................
 
Swali ni utabaki au utakimbia?
Kwanza nataka nikwambie kitu, Leo ukiwa na ukimwi unaweza kuishi maisha marefu sana kuna magonjwa mengine unaambiwa una miezi minne tu unakuta, japo hatuombi mtu apate hata malaria lakini kwa nn basi usichukue taadhali?

Sijawahi kuwa na uadui mkubwa kiasi hicho hata km kesho sitakuwa nae, tumezaa, tumeishi, ni ndugu sasa hivyo bado hata tushindwe kuelewana kwa kiasi gani lakini binafsi hata wanangu watapenda kumuona baba yao anaendelea vizuri namshukuru maisha yake.

Mwanamke anapolalamika ana sababu kubwa tayali ameshaona mbele, japo ss tunaonekana tunachonga sana lakini tuna sababu
 
Back
Top Bottom