Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Kwanza nataka nikwambie kitu, Leo ukiwa na ukimwi unaweza kuishi maisha marefu sana kuna magonjwa mengine unaambiwa una miezi minne tu unakuta, japo hatuombi mtu apate hata malaria lakini kwa nn basi usichukue taadhali?

Sijawahi kuwa na uadui mkubwa kiasi hicho hata km kesho sitakuwa nae, tumezaa, tumeishi, ni ndugu sasa hivyo bado hata tushindwe kuelewana kwa kiasi gani lakini binafsi hata wanangu watapenda kumuona baba yao anaendelea vizuri namshukuru maisha yake.

Mwanamke anapolalamika ana sababu kubwa tayali ameshaona mbele, japo ss tunaonekana tunachonga sana lakini tuna sababu
Ni bora umetambua wajibu wako kwake.

Ila kama mtu ameacha msosi ndani kaamua kwenda kula makombo kwa jirani pia ana sababu. Kama hiyo sababu haijatoka, usitegemee kama atakusikiliza.

Kuhusu kupima itafaa uonane na washauri nasaha ili wakupe approach nzuri ambayo haitavunja uhusiano wenu.
 
a3c4ba3b8cc657048d5c4a64700b8252.jpg

Habari zenu wadau wa humu,

Ushauri wa shosti wangu alinishauri kwenda katika bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula katikati hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa kwenye hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu.

Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisa.

Wanaume hivi ni kwanini mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisa mwenzenu.
Wanawake hamjidharaulishi?
 
Yote ni katika kutafuta stimu tu....usikute huyo mwanamke anajuwa kucheza na ana mbwembwe kitandani shinda wewe. Inauma ila habari ndo hiyo.
 
Rafiki wa muuza nyama na muuza nyama wanakula nyama inayoliwa na mme wako huku wewe ukila nyama ya kuchoma ya muuza nyama yaani ni mwendo wa "nyama, nyama nyama...nyama ya bar..."
Hahahahahahahhahahhahaha
 
Back
Top Bottom