Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Hadi nimeogopa, mwambie mmeo
mwanzoni nilikuwa naambiwa ni dada akipiga simu, nilipochoka baadae kwa upelelezi wangu na msg nilipokutana, pindi mtu karudi saa saba hoi bibie anapiga simu kuhakikisha km amefika salama nikipokea hapokei. Kinachonichosha hapa mwanaume alikuwa anajiona kapata nikajuaga demu wa ukweli juzi niliishiwa nguvu kabisaaa
 
na wewe hujachukuliwa na muuza nyama?
aisee wewe hata hukufaa kuwa mke.Badala kukaa nyumbani unaenda kuzunguka kwenye mabaa kuwatafuta wauza nyama
Unaongea unafki kabisaaa km huna la kuongea nyamaza, sio kwa pumba hizi je itakusaidia kuonekana wa maana sana. Umekurupuka sana
 
mwanzoni nilikuwa naambiwa ni dada akipiga simu, nilipochoka baadae kwa upelelezi wangu na msg nilipokutana, pindi mtu karudi saa saba hoi bibie anapiga simu kuhakikisha km amefika salama nikipokea hapokei. Kinachonichosha hapa mwanaume alikuwa anajiona kapata nikajuaga demu wa ukweli juzi niliishiwa nguvu kabisaaa

Hi hatari sana jamani wanaume wengine nashindwa hata kuwatathimini
 
Yaani km umenifatilia sijasema km malaya wako bar tu, makanisani wamejaa malaya wazuri sana, Sembuse bank na ofcn? Anajikomesha mwenyewe sababu kwa style hii sidhani km atakuwa salama. Naumwaje kichwa Sasa, binafsi napogundua uchafu km huu nafurahi najua nikae vipi mm km mm
 
a3c4ba3b8cc657048d5c4a64700b8252.jpg

Habari zenu wadau wa humu,

Ushauri wa shosti wangu alinishauri kwenda katika bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula katikati hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa kwenye hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu.

Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisa.

Wanaume hivi ni kwanini mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisa mwenzenu.
Ungeona mchupuko wake ni waziri hapo ingekuwa sawa na hajidharaulishi?
 
Naona km napakwa uchafu, unajua kuna dada aliniambia amefika sehemu hawezi kufanya romance na mumewe sikumuelewa, tena akaniambia alipogundua mumewe ana mchepuko akamwambia waende kupima magonjwa kwanza, nilichogundua ni kwamba unaweza ktk ndoa ukafa hivi hivi kwa presha na ukimwi huku unajiona

naelewa sana hyo situation !pole
 
Kumbe unafikiri natania, anyway hakuna binadamu aliye mkamilifu, wewe unalia na hilo kuna mwingine analia na lingine, hiyo ndiyo gharama ya kile kiapo cha "shida na raha" Uvumilivu ndo sehemu yake, ukiona unazidiwa dai talaka yako (Hata Bible ina maandiko yanayoruhusu kuachana kama kama kuna UZINZI pekee).
Nb:- Usichukue uamuzi wa haraka kama hujafanya tathmini ya kutosha usije kujuta badae.
Mke wangu nimetupa huko kwa ufuska unasubiri nini.
 
Yaani km umenifatilia sijasema km malaya wako bar tu, makanisani wamejaa malaya wazuri sana, Sembuse bank na ofcn? Anajikomesha mwenyewe sababu kwa style hii sidhani km atakuwa salama. Naumwaje kichwa Sasa, binafsi napogundua uchafu km huu nafurahi najua nikae vipi mm km mm

Sasa madame utaweza kumwambie muwe mnatumia protection tu asije kukuua
 
Back
Top Bottom