Endelea kulalama ivo ivo mpaka siku unakutwa namatatizo unalalama ivo ivo.![]()
Habari zenu wadau wa humu!
Ushauri wa Shosti wangu alinishauri kwenda ktk bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula ktkt hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa ktk hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu!
Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisaaa.
Wanaume hivi ni kwa nn mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisaaa mwenzenu
huwa mnawaona wanawake walalamishi ila wanaume wa kitanzania unzinzi mmeuweka mbele sana .wanaume za watu wachafu sanaFirst thing first jiulize kwanini anachepuka? Pili ukishajua shida iko wapi sasa tafuta suruhu ya tatizo
Ukiwa mlalamikaji pekee bila kutafuta sababu haitasaidia kitu kwa kweli tafuta chanzo cha tatizo kisha deal nacho
Ni kweli kabisa, tena anakujua wananuka kabisaaahuwa mnawaona wanawake walalamishi ila wanaume wa kitanzania unzinzi mmeuweka mbele sana .wanaume za watu wachafu sana
Kuna kitu hujaelewa kwenye hoja yangu. Sawa wanaume wachafu sana but sio wote ni wa hivyo mwenye jukumu la kufanya ndoa yako kua salama ni nyinyi wawili.huwa mnawaona wanawake walalamishi ila wanaume wa kitanzania unzinzi mmeuweka mbele sana .wanaume za watu wachafu sana
Mfano km mm kwa uzinzi hivi sitaweza kabisaaa najiona waziKuna kitu hujaelewa kwenye hoja yangu. Sawa wanaume wachafu sana but sio wote ni wa hivyo mwenye jukumu la kufanya ndoa yako kua salama ni nyinyi wawili.
Sipendi kuona ndoa inatukanwa sababu sio chuo cha mchepuko ndoa ni bless aisee ikikushinda aiza haukua tayari kwa ndoa au zipo unsettled reasons
Sasa learn from waliofanikiwa sio walioshindwaMfano km mm kwa uzinzi hivi sitaweza kabisaaa najiona wazi
uko sahihi !!!ukweli mchungu ndoa nyingi za kitanzania zinavunjwa na Tamaa za wanaume..mazingira ya Kukaa na wazazi wajumbe yamesababisha nimejua matatizo mengi ya ndoa kabla sijawa mwanandoa.Kuna kitu hujaelewa kwenye hoja yangu. Sawa wanaume wachafu sana but sio wote ni wa hivyo mwenye jukumu la kufanya ndoa yako kua salama ni nyinyi wawili.
Sipendi kuona ndoa inatukanwa sababu sio chuo cha mchepuko ndoa ni bless aisee ikikushinda aiza haukua tayari kwa ndoa au zipo unsettled reasons
![]()
Habari zenu wadau wa humu!
Ushauri wa Shosti wangu alinishauri kwenda ktk bar mume wangu anayokaa, nikaamua kwenda kula ktkt hapo na kujaribu kuwazoea kupitiliza, siku moja nikaenda nikamkuta muuza nyama amekaa na mdada kwa jinsi nilivyomzoea nami nikakaa ktk hiyo meza Duh! Kumbe ndio mchepuko wa mume wangu!
Jamani nilichoka sana nikaishia kumuangalia tu, kwa uchunguzi niliyofanya kwanza anatembea na muuza nyama, na pia ana bwana mwingine hapo rafiki wa muuza nyama, ni mdada yule kuchukuliwa na wanaume wa bar ndio zake, niligundua ni mtu mzima sana nilishangaa na kushindwa kumuelewa mume wangu kabisaaa.
Wanaume hivi ni kwa nn mnapenda kujidharaulisha hivyo? Kibaya bar nzima inajua, nimezidi kupoteza hisia kabisaaa mwenzenu
Wanaume sawa but ukiwa haujaingia ndoa kuna mengi ya kujifunza nje ya ndoa which is advantage to you nikushauri tu penda kujifunza bila kuweka negativity about certain gender sababu hutajioa bali utakua na mwenzakouko sahihi !!!ukweli mchungu ndoa nyingi za kitanzania zinavunjwa na Tamaa za wanaume..mazingira ya Kukaa na wazazi wajumbe yamesababisha nimejua matatizo mengi ya ndoa kabla sijawa mwanandoa.