Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

Jiulize mara kadhaa, wanaume hawachepuki hovyo hovyo bila sababu, huenda kuna starehe unashindwa kumpa mumeo naye ameamua kuisaka nje. Huenda ni mvivu kwenye 6x6, au tendo lenyewe unalichukulia poa. Walimu wa mahaba watamtorosha mumeo na usimuone tena home kwa uzembe wako tu. JIONGEZE
 
Wanaume si mnakiri mmeumbiwa tamaa, hata wapewe nn hakuna kuacha sketi
 
Nimeshuhudia watu wangu wa karibu km wanne kwa mwendo wa umalaya hivi hivi leo wameambulia magonjwa, naogopa maradhi sana
 
Siyo wote wenye tabia hiyo, wengine wanakwazwa na mambo yaliyopo ndani ya familia zao wanalazimika kutoka nje
Nikisema ni udhaifu utakataa, kutembea na mtu mzima wa hovyo kila mtu anajilia kha!
 
Back
Top Bottom