Hahaa hamna bwanaUmeanza...
Hongera sana mkuu tuliokuwa tunakunyemelea tuandike maumivu
kwakweli tuanze kuangaza kwingineUmemalizia vizuri " asanteKama umezoea kukutana na vicheche siku ukikutana na paka huwezi amini ka kuna kicheche aliyetulia akiona kuku wako. Utasema, labda kashiba leo lakini oumbe; Kicheche na paka wote jamii yao moja. Tofauti ni majina na namna ya kutafuta mlo.
Ngoja kwanza, ahakikishe kuwa amepata hati miliki (Ndoa) ndiyo uje hapa JF na majigambo yako. Ila kwa sasa, endelea kula mzigo tena ule hadi uweke akiba kwani siku sio nyingi utajahadithia.
Usiogope kuja kutueleza, hakuna kuchekana humu bali kuthibitishiana na kufundana.
Sitaki hongera yako mimiHongera sana
Hahaa acha hizo basiii "![]()
![]()
![]()
kwakweli tuanze kuangaza kwingine
Mpaka wanapata stress plus shell kwakushindwa kuomba helaWanafikiri tunapoomba ni kazi ndogo, tumejitoa kweli. Wasioomba wanaugulia tu kimya kimya ila wanataka na ukiwapa hawakatai. Hivyo wawe wanajiongeza tu.
AiseeMpaka wanapata stress plus shell kwakushindwa kuomba hela
Hongera sana, ng'ang'ania hapo hapoNa ndio nacho kifanya hicho
Haya bhana " ahasanteHongera sana, ng'ang'ania hapo hapo
Usimkatishe tamaa, wanawake wenye tabia nzuri wapo si wote wadangaji yawezekana katika hao wazuri huyo ndiye mmoja wapoSio umalaika anakupenda anakua anaomba wenzio. Nina rafiki yangu alikua na bf. Hajawahi muomba hata 100. akienda kufungasha mzigo wake anamnunulia bf kila kitu. Mpaka kodi ya bf anamsaidia. Bf akilia shida dakika yoyote kama hana atakopa ampe na hamdai. Kumpa bwana ake hata 1M alikua hajali. Anampa bf wake gari yake yeye anapanda tax siku nyingine. Lakini vitu ambavyo bf alikua hafanyi vya kipesa walikua wanafanya wenzie. Sasa kama anakucheat asikufanye ujisikie vibaya sababu huna cha kuoffer zaidi ya dyudyu sijui tuendelee kumuita malaika? Kama mwanamke wako mhangaikaji kama kina sie na hakuombi hela jua kabisa wapo wenzio wanatoa wanyumbani. Kuna muda ana shida hata na elfu 2 ilaa anajua huna hakuombi.

Furahia kizuri upatapo usisubilie kibaya ndiyo uanze kujuata anzia hapo hapo kwenye memaKuhusu ku-cheat " hayo ni Masuala mengine mzigua ....iwe unampa chochote au haumpi " anaweza aka cheat tu " .... huwa nina desturi Moja sipendi kumuhukumu mwenzangu katika hilo wakati waweza kukuta mimi mwenyewe ni msaliti "...
Huwa sipendi kujipa fikira hasi pia " hii huwa Inanisaidia sana kuniepusha na migogoro isiyo na tija katika maisha yangu
Upo mkuu " ??
Usimkatishe tamaa, wanawake wenye tabia nzuri wapo si wote wadangaji yawezekana katika hao wazuri huyo ndiye mmoja wapoq![]()
![]()
Tatizo mazoea na mazingira anayokulia mtuAisee
Unajua mwenyew"..., then mbona haujani ........... kuleKwanini jamani nimekukosea nini jamani?![]()
![]()