Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Ndiyo hivyo, hujawahi ona familia nyingine mgeni akifika watoto mpaka waombe hela hapo wakikuwa ni hivyo hivyo umatonyaHili. Nalo ni tatizo kubwa Sana " haswaa unapokutana na mwanamke ambaye ameamua kuyaendesha maisha yake kwa kupitia kiungo chake nyeti cha mwili ".... uzi kama huu lazima ataipinga vikali sana