hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,263
- 80,032
Hahaha madame bwana " kuna wengine sio kwamba wanashida " hapana ila wana arosto ya kuomba omba " ..... anakuomba leo pesa unampa za kutosha tu ...baada ya siku mbili anakuomba tena " sijui huwa wanahisi kuwa tunazichapisha !!?Bado tupo wengi sanaaaa, kuomba pesa haimaanishi hatuwapendi jamani. Ni shida tu ndio hazina adabu, mtuvumilie tu na mzidi kutupatia pesa. Tunawapenda sana na mbarikiwe kila mtoapo. Amen.