hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,436
- 73,371
Hahaha hicho ndio kigezo changu cha kwanza chief.Acha porojo wewe. Ana chura?
.nakuomba kwetu usikanyage Aisee ... sintotaka kuona tunagombana ndugu
Hahaha hicho ndio kigezo changu cha kwanza chief.Acha porojo wewe. Ana chura?
Aisee .. Wick ndiye aliyenikutanisha nae _ fanya. Mpango umcheki akupigie pande na wewe piaMwanaume kuelezea hisia zake kiasi hiki ni awe ameguswa haswa kwa ulivyojitanabaisha kua ni mgongaji msepaji. Natumaini haujakosea, na nakutakia kila la heri.
One more thing ulimpata mitaa gani na mimi nikashinde huko? Uanaume ni kusaidiana
Hahaha usinifanyie hivyo tafadhaliHaha siwezi kumkaribisha labda aje na Id nyingine. Kama hana Id nyingine ya zamani basi hana bahati maana Id za kuanzia 2015 pm kwangu hazikaribishwi
Hahaha hakuna anayependa kuombwa ombwa pesa hovyo aisee ".... kuna siku Mama Sabrina aliombwa 10k tu huko na member wa Jf " daahh aliliporomosha gazeti humu limejaa kichambo cha kufungia mwaka wacha wamchambe jamaa wawatu " hahaaa " Imagine 10k tu imezua taharuki na kuifanya mpaka jf ikasimama " ...what if ingekuwa 100k !!?
Ahsante sana mkuu " barikiwa ..huwa nape da kuwaza positive piaNi kweli mwaya we chukua kile unachokiona, kama kuna mengine nyuma ya pazia itajulikana tu. Siku zote mimi huwa napenda kuwaza positive...nachukua kile anachonionesha
But nikuchallenge kidogo binamu!
Mpenzi wako kukuomba hela sio sign ya kutokukupenda, and the vice versa is true!
I for one, sishindwi kufanya chochote ninachotaka miongoni mwa ninavyoombea hela!
Naona tu raha kupewa hela na mwanaume wangu!
Nisipoomba doesn't mean sitaki kukuomba, wakati Fulani najua huna na its been tight with you!
lakini naweza nikaibuka vile vile nikakupiga msumari!
SO USIMIX VITU HAPA BINAMU!
all in all hongera sana!
Hahaha hicho ndio kigezo changu cha kwanza chief.
.nakuomba kwetu usikanyage Aisee ... sintotaka kuona tunagombana ndugu
Yeah madame " thats why nakukubali " huwa haupendi kuukanyaga ukweli ili usionekane " if ikiwa nyeupe unasema hii ni nyeupe " ikiwa nyeusi utasema hii ni nyeusi piaKey word: kuombwa ombwa hovyo. Halafu unaona kabisa sio kwamba mtu ana shida anataka tu akukomoe.
Hahaha binamu kwanza asante kwa kuchangia " .. essay yangu Inajipambanua kwamba mahusiano ya sasa mengi yanadhoroteshwa "na ukosefu wa maadili " kiasi kwamba inapelekea mahusiano mengi kuvunjika " .... sentensi hii mmong'oko wa maadili" nimkusanyiko wa tabia mbali mbali hasi ambazo hazistahiki katika jamii (kuombwa hela hovyo bila mpango ni sehemu moja wapo ya mmong'onyoko huo ").... mbona topic imejipambanua vyema " sitaki kuamini kwamba haujauona msamiati huu Mmong'onyoko wa maadili ambao unapatikana katika hzi jinsia zote mbili "But nikuchallenge kidogo binamu!
Mpenzi wako kukuomba hela sio sign ya kutokukupenda, and the vice versa is true!
I for one, sishindwi kufanya chochote ninachotaka miongoni mwa ninavyoombea hela!
Naona tu raha kupewa hela na mwanaume wangu!
Nisipoomba doesn't mean sitaki kukuomba, wakati Fulani najua huna na its been tight with you!
lakini naweza nikaibuka vile vile nikakupiga msumari!
SO USIMIX VITU HAPA BINAMU!
all in all hongera sana!
Kama chura anaye hamna cha kushangaa, oa.Hahaha hicho ndio kigezo changu cha kwanza chief.
.nakuomba kwetu usikanyage Aisee ... sintotaka kuona tunagombana ndugu
@khantwe mama ushauri huyo anakufaa wewe akuweke kwenye right track.Hahaa ... sidhani kama utakuwa haujamtolea macho @kwante wewe
Ngoja nimcheki kwenye simu..Aisee .. Wick ndiye aliyenikutanisha nae _ fanya. Mpango umcheki akupigie pande na wewe pia
Safi sana " Asante kwa haya maneno maridhawaHongera binamu!
I LOOOOOVE IT !
its gud seeing people in love!
ENJOY aisee, mapenzi kitu kizuri sana! Ukipata mtu anaupa moyo wako amani ya kiwango hicho just sail bana!
TUNAISHI MARA MOJA TU!
haina REHARSAL. HAINA MARUDIO!
it is an ACTUAL PERFOMANCE!
Umeanza...Hahaha usinifanyie hivyo tafadhali
Soma story vizuri " uelewe mzee mbona kama umepurukushwa toka usingizini " .... kuna msamiati unajieleza kabisa " kuwa mpenzi wangu ananishauri masuala kibao ya kuhusu uchumi " halafu bado unakuja kuongea haya maneno really " .... hivi kunishauri kwake katika masuala ya uwekezaji haitoshi kunifanya niweze kuwa mtafutaji haswaa " mpaka aniombe ombe " !!?kuwa na mahusiano na mwanamke asiyeomba pesa ni bora kuwa peke yako kwa maana hatahamasisha kichwa changu kutafuta pesa kwa bidii kwa maana cha mmoja ni mmoja na wawili ni wawili
hongera mkuu kwa kumpata moyo uliyemridhia
Hahaha afadhali AiseeKuna mmoja nlienda kutoa photocopy nikampa
Kuhusu ku-cheat " hayo ni Masuala mengine mzigua ....iwe unampa chochote au haumpi " anaweza aka cheat tu " .... huwa nina desturi Moja sipendi kumuhukumu mwenzangu katika hilo wakati waweza kukuta mimi mwenyewe ni msaliti "...Sio umalaika anakupenda anakua anaomba wenzio. Nina rafiki yangu alikua na bf. Hajawahi muomba hata 100. akienda kufungasha mzigo wake anamnunulia bf kila kitu. Mpaka kodi ya bf anamsaidia. Bf akilia shida dakika yoyote kama hana atakopa ampe na hamdai. Kumpa bwana ake hata 1M alikua hajali. Anampa bf wake gari yake yeye anapanda tax siku nyingine. Lakini vitu ambavyo bf alikua hafanyi vya kipesa walikua wanafanya wenzie. Sasa kama anakucheat asikufanye ujisikie vibaya sababu huna cha kuoffer zaidi ya dyudyu sijui tuendelee kumuita malaika? Kama mwanamke wako mhangaikaji kama kina sie na hakuombi hela jua kabisa wapo wenzio wanatoa wanyumbani. Kuna muda ana shida hata na elfu 2 ilaa anajua huna hakuombi.
Afadhali hahaangoja niishie hapa...nakutakia kila la heri
Hahaa " AiseeHuyu shemeji yako anajua mshahara wangu mdogo na yeye kunihudumia hataki. Anasubiri nipendeze aanze wow wow zake. Namuomba tu. Kama hataki nikatafute nje.
Ahsante nitazingatia hiliSawa ila jipe muda kwanza mkuu umsome mwenendo wake kwa undani.