Nimekutana na malaika

Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Dah! Umenifanya nifikirie sana hii kauli " ana uwezo mkubwa wa kufikiri" bado natafakari nikipata jibu nitarudi. Ila hongera sana kwa kupata.
 
Binafsi huwa nashangaa mwanaume kulalamika.

Kama wewe ndiye ulimtongoza mwanamke na unampa huduma sasa ukiskia kaharufu tu kakukusaliti si unapiga chini?

Labda mke ndiyo kazi kupiga chini kijinga jinga.
Acha ukatili mkuu
 
Hahaha humu naona mnatupiana madongo tu " kwakweli naipenda Jf "..
 
Umeniibia nilichotaka kuandika


Kiufupi hapo lazima anachora ramani, siku zote mwizi akitaka kuiba mahali lazima apige racket achre ramani so jiandae, maana miezi mitatu tgu nakukimbilia kuja hapa umewahi sana
Hahaha
 
Dah! Umenifanya nifikirie sana hii kauli " ana uwezo mkubwa wa kufikiri" bado natafakari nikipata jibu nitarudi. Ila hongera sana kwa kupata.
Lol karibu chief
 
Umeona mwenzio amesema haombwi hela anajiongeza!? hapo ndipo ulipofeli boo. Anza kunipa uone kama nitaendelea kukuomba. Halafu si unaona huyo wifi kajitosheleza kiuchumi?? Mi bado hivyo vinginw unisaidie tu. Kodi najua huwezi kunilipia basi hata salon baba.
Hahaa wakunyumba bwana
 
"Hakuna Mungu"
"Nimekutana na Malaika"
Duniani kuna watu wa ajabu sana.
Anyway ongera Mkuu.
Hahaha hivi ukitaka kuongea na jamii ya watu wa mjini ili waweze kukuelewa " utakwenda mbele yao huku ukiwa umejipamba kwa mavazi ya kutoka kijijini ..!!? Jiongeze mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom