Nimekutana na malaika

Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Usiniambie ..haa haa .. kwa hiyo utabadilika na kuwa mbogo ..hivi ile pistol yako ulishairudisha lugalo ... Maana usije kuifanyia majaribio mwilini mwangu
hahh na siombei kuimiliki, me ni short temper sana!..
 
Yani huyu ni kama wangu kabisaaa.Tena inawezekana wako kazidiea,hadi naogopa.Akili balaa za class na Maisha.Hakuwahi niomba hata vocha,nimetest kumuwasha papuchi imeziba duuu!Kidume nimetangaza ndoa.Hakika nisipooa huyu sidhani kama nitaoa.Mungu kanipa aina ya mtu niliyekuwa namtaka.Mungu akulinde na kukuongoza my C.
 
Mkuu huyo oa kabisa "

Nilisahau kukupa pongezi hongera sana ... umelamba bingo
 
Nilivoona huu uzi imebidi nimtext.Aisee halafu si mkubwa wa umri.lakini anajielewa sn
Haha nakuomba " umwambie kwamba " Mke wangu wewe ni malaika akiuliza sababu basi mtumie link ya huu uzi whatsapp
Ili aweze kujionea sifa zake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom